Quantcast
Channel: Fashion – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 244

Vida Mahimbo azindua Collection kali ya kimataifa ‘Face of Summer 2014’

$
0
0

DSC_0594

Muonekano wa Duka la Atsoko Beauty and Cosmetics lililopo Mikocheni jijini Dar palipofanyikia uzinduzi wa ‘Face of Summer 2014’ Collection mpya ya Mbunifu wa Mavazi Vida Mahimbo.

DSC_0542

 Event ilianza mchana majira ya Saa Sita mchana ambapo wadau wa masuala ya Urembo walipata nafasi ya kuangalia Collection mpya New Khanga T-shirts and Jeans yenye rangi za Kimataifa inayoitwa  ‘Face of Summer 2014’ sambamba na kujipatia ushauri wa bure wa namna ya kupaka Make Up pamoja na utunzaji wa kucha kutoka kwa wataalam waliobeba kwenye fani ya urembo. (Pichani ni Wateja wakiangalia collection mpya ya Nguo za Mbunifu wa Mavazi nchini Vida Mahimbo) (Picha na Zainul Mzige, MOblog).

.Ni tukio la kwanza ‘face of summer 2014’ lenye muonekano wa rangi za kimataifa

Na Damas Makangale, Moblog

MBUNIFU wa mavazi Vida Mahimbo wa jijini Dar es Salaam Jumamosi ya wiki iliyopita amezindua ‘Collection’ yake ya ‘Face of Summer 2014’ yenye muonekano wa rangi za kimataifa.

“Nimekuwa kwenye tasnia ya mitindo na mavazi kwa takribani miaka minne na leo nimezindua ubunifu mpya wa mavazi inaoendana na rangi za kimataifa hasa kwenye T-shirts na jeans,” amesema Mahimbo

Mahimbo amesema kwamba yeye ana tengeneza nguo hasa za kike lakini ambazo zinaweza kuvaliwa karibu kila siku na watu wa rika mbalimbali wa kimataifa na watu wa kawaida.

DSC_0546

 Zipo Make Up za kila aina zinazoendana na ngozi ya mteja ambapo pia unaweza kupata kwa bei Jumla na reja reja. Pichani wageni mbalimbali wanaopenda urembo wakiangalia Make up wakati wa uzinduzi huo uliofanyika kwenye Duka la Atsoko Beauty and Cosmetic lililopo Mikocheni jijini Dar.

DSC_0548

Amesema kwamba ameamua kumchangua (Sing Bird) Shaa kama balozi wake kwa sababu ni mtu anayeweza kuwakilisha vyema kwenye sanaa kutokana na mavazi, muonekano na uelewa wake mkubwa katika mambo ya mitindo hapa nchini.

Mahimbo alisisitiza kwamba tukio hilo la Jumamosi iliyopita imetoa nafasi kwa wateja wake wa ndani na nje ya nchi kuweza kuona collection yake mpya ya 2014 hasa khanga na jeans.

DSC_0860

DSC_0578

 Mtaalamu wa kucha katika Duka la Atsoko Beauty and Cosmetic Maryciana Naivasha akiwasikiliza wateja waliofika duka hapo.

Katika tukio hilo alishirikiana Atsoko wa duka la vipodozi kuandaa ‘Face of Summer 2014’ katika kuwapa watu waliotembelea nafasi ya kuona kazi zake mpya za sanaa ya ubunifu, amesema

Shaa alichaguliwa kuwa balozi wa tukio hili na waandaaji kutokana na kuwa na sifa ambazo wao walizihitaji. Vida Mahimbo, Shaa, Rio Paul na Mary.

Kwa sasa wateja wa nchini wataweza kupata bidhaa ya T-shirts Khanga na Jeans  katika duka la Atsoko Beauty and Cosmetics zilizotengenezwa na Vida Mahimbo.

DSC_0576

 Mmoja wa wateja akisoma brochures za bidhaa za Atsoko Beauty and Cosmetic…..She is so fine….!

DSC_0857

DSC_0585

Peroni Italy were there to Serve to the Guest.

DSC_0600

Flora Chacha akimpaka Make up mhudumu wa Peroni kuleta muonekano mzuri zaidi kwa wageni waalikwa.

DSC_0624

Balozi wa ‘Face of Summer 2014’ (Song Bird) Shaa posing with Flora Chacha of Atsoko Beauty and Cosmetics.

DSC_0630

Mbunifu wa Mavazi Vida Mahimbo na Balozi wa ‘Face of Summer 2014’ (Song Bird) Shaa.

DSC_0639

Mbunifu wa Mavazi Vida Mahimbo(kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa ‘Face of Summer 2014’ (Song Bird) Shaa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Atsoko Beauty and Cosmetic Marie Englesson (kushoto) pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Duka hilo.

DSC_0656

Balozi wa ‘Face of Summer 2014’ (Song Bird) Shaa akiangalia Collection mpya ya Vida Mahimbo.

DSC_0672

Wageni mbalimbali wakisalimiana na Mbunifu wa Mavazi Vida Mahimbo (kushoto). Katikati ni Mbunifu wa Mavazi Eskado Bird.

DSC_0676

Mtaalam wa kucha Maryciana Naivasha (katikati) Balozi wa ‘Face of Summer 2014’ (Song Bird) Shaa pamoja na Mtaalamu wa urembo Duka la Atsoko Beauty and Cosmetic Flora Chacha wakibadilishana mawazo (kulia).

DSC_0681

Wow Amazing Collection…!

DSC_0694

DSC_0680

DSC_0689

Ladies were busy with the Beauty Products from Atsoko Beauty and Cosmetic.

DSC_0697

DSC_0700

Showing some love and Support for Vida Mahimbo.

DSC_0713

Janeth Peter posing for Ukodak

DSC_0716

Miss Tz 2012 Brigitte Alfred  na Mbunifu wa Mavazi Vida Mahimbo.

DSC_0718

DSC_0720

Miss Tz 2012 Brigitte Alfred, Mbunifu wa Mavazi Vida Mahimbo na Miss East Afrca 2012 Jocelyne Maro.

DSC_0724

DSC_0726

DSC_0730

DSC_0732

Everyone was excited with the Make up thing…!!

DSC_0784

DSC_0825

DSC_0808

Designer Robi Moro.

DSC_0842

DSC_0775

CEO wa Atsoko Beauty and Cosmetics Marie Englesson akifanya mahojiano na Ayo TV ya Millard Ayo.

DSC_0844

DSC_0876

Wadau wa Leo Media na mrembo wa Atsoko Beauty and Cosmetics.

DSC_0892

DSC_0903

CEO wa Atsoko Beauty and Cosmetics akiwa amepozi na mrembo mkali…..!

DSC_0744

CEO wa Missie Popular Blog Mariam Ndabagenga naye alikuwepo.

DSC_0752

Maryciana Naivasha  akimpaka Make up  Janeth Peter.

DSC_0914

DSC_0791


Viewing all articles
Browse latest Browse all 244

Latest Images

Trending Articles



Latest Images