Blackfox Models Africa wafanikisha zoezi ya kusajili vijana wa Arusha
Jumapili ilikuwa siku ya furaha kwa wanamitindo wa Arusha, kwani timu ya Blackfox Models ilitua jijini humo kusajili vijana wenye fani hiyo. Zoezi hili lilifanyika katika hoteli ya Tulia Boutique...
View ArticleMama wa Mitindo Asya Idarous na Yasin Kapuya kuwakilisha Tanzania Nchini...
Mamaa wa Mitindo Nchini Tanzania anayefanya shughuli zake Nchini Marekani, Asya  Idarous Khamsin (Pichani juu) anategemea kuiwakilisha Tanzania kwa kuonesha mitindo yake mbalimbali katika jukwaa kubwa...
View ArticleKendall Jenner na Gigi Hadid wapanda juu katika orodha za Forbes za...
Linapokuja suala la wanamitindo kutunisha akaunti zao za benki kutokana na kushiriki vyema katika mitindo basi Gisele Bundchen amekua ndio kinara kwa takribani miaka 14 ambapo jarida la Forbes...
View ArticleLady Gaga atokeleza kwenye maonyesho ya mitindo na vazi la aina yake
Mwanamuziki anaeongoza kwa vimbwanga nchini Marekani, Lady Gaga, ametokelezea akiwa ndani ya kijivazi cheusi chenye kumuonesha maumbile yake katika maonesho ya mavazi yaliofanyika usiku wa kuamkia leo...
View ArticleMtazania ashinda taji la mrembo wa gereza
Mashindano maarufu ya Mrembo wa Gereza katika Gereza la Lang’ata yamelenga kuwasaidia wafungwa wakike kupata afueni ya kisaikolojia na kurudi katika hali zao za zamani kabla ya kifungo. Shindano hilo...
View ArticleWashiriki TTCL Miss Higher Learning watoa elimu ya usalama barabarani
Washiriki wa kinyang’anyiro cha kumsaka mrembo wa elimu ya juu kwa mwaka 20016 (TTCL Miss Higher Learning 2016) kwa kushrikiana na Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani wametoa elimu ya...
View ArticleTazama hapa miaka 20 ya mitindo ya nywele na mbunifu Marc Jacobs
Mbunifu wa mavazi kutoka marekani Marc Jacobs aonesha historia ya mitindo ya nywele kupitia wana mitindo wake ambao aliwavalisha kulingana na miaka yote aliofanya ubunifu wake kuanzia mwaka 1996 mpka...
View ArticleMama wa Mitindo Asya Idarous kupamba jukwaa la “Plus Size Fashion Show” Zanzibar
Mama wa mitindo maarufu kama Asya Idarous Khamsin ataonesha mitindo yake kama mgeni mwalikwa kwenye tukio la mitindo la “Plus Size Fashion Show” inayo tegemea kufanyika Visiwani Zanzibar siku ya...
View ArticleMama wa Mitindo Asya Idarous awa kivutio kikubwa Atlanta GA katika Shikamoo...
Mama wa Mitindo anayefanya vizuri ndani ya Tanzania na Nchini Marekani, Asya Idarous Khamsini jumamosi ya Oktoba 22 ameweza kukonga nyoyo za watu mbalimbali waliofika katika tamasha la Shikamoo Swahili...
View ArticleSwahili Fashion Week 2016 kufanyika Desemba 2-4 Dar,Wabunifu 40 kupamba
LEO Novemba 9.2016. Katibu Mtendaji wa Basata, Bwana Godfrey Mungereza ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinudizi rasmi wa SWAHILI FASHION WEEK na Tuzo kwa mwaka 2016 amepongeza juhudi za Waandaaji wa...
View Article