Quantcast
Channel: Fashion – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 244

Exclusive: Mastaa Bongo wanaojiamini hadi ‘kujiachia’ miili yao hawa hapa!

$
0
0

nay 2Wasanii Ney wa Mitego (kushoto) na Diamond Platinumz (kulia

Na Andrew Chale wa Modewji Blog

Kwa muda mrefu sasa huenda nawe  umepata kushuhudia baadhi ya mastaa wa Bongo pamoja na watu maalufu wakiwa kwenye kurasa mbalimbaali za magazeti na majarida, mitandao ya kijamii na mabagno ya matangazoa wakiwa katika muonekano tofauti hasa katika kuonesha miili yao kiuhalisia.

Mastaa hao pia tunawashuhudia kwenye video zao iwe filamu, muziki na matangazo, wakionyesha sehemu za maumbilie yao kama kifua, tumbo, mgongo, kiuno na hata miguu kwa baadhi yao wakiwemo wa kike.

11Msanii Juma Jux

10456014_788713777825591_1972336236018089873_n

Jux na Vanessa MdeeJux na VeeMoney

Sababu kadhaa za kiuchambuzi ambazo Modewji blog, imezibaini licha ya kuwa wengi wao wanalalamikiwa kwenda kinyume na maadili ya Mtanzania ama mwafrika, Kwa sas Tanzania imeendelea kupiga hatua kwa upande huu kwa namna moja ama nyingine, kwani ongezeko la majarida ya kijamii ambayo yanaandika watu maalufu na mastaa pamoja na majarida ya kibiashara, yamekuwa chachu ya kuendelea kushuhudia kinachoelezewa hapa.

ALIKIBA1

k6

Kiba1.jpgeeMsanii Ali Kiba

Mbali na hilo la kupamba majarida (Magazine) pia baadhi ya mastaa wengine ni hulka yao kuwa na tabia ya kuonyesha maumbile yao kwani wapo wanaojisikia vizuri na pia ni ‘life style’ yao pasipo kuingiliwa na mtu yoyote.

Elizabeth-Michael

1013460_501605599917627_658084832_nMsanii Lulu Michael ‘Lulu’

Kingine pia ni wengi wa mastaa hao ni watu wa mazoezi hivyo wamekuwa wakitumia miili yaao hiyo kama mvuto hasa kwa muonekano wa vifua vyao kuwa na ‘six pack’ na vitu vingine ambavyo ni kivutio kwa mwili kwa mwanaume.

Pia uchunguzi  huo umewabaini wengi wa mastaa hao wamekuwa wakijiachia sehemu ya miili yao kama sehemu ya kivutio kwa ‘fans’ zao hasa kwa baadhi ya mastaa wa kike na kiume.

faiza ally657

zaiza_ally09Msanii wa filamu na aliyewahi kuwa Miss

Nyuma ya pazia!

Kila jambo na wakati wake, hili limeweza kubainika kiukweli kuwa, nyumam ya pazia wasanii wengi wanakuwa na wakati mgumu sana kwani inapofika wakati wa wao kuwa na maandalizi ya kupiga picha za kawaida ‘photo shoot’ au za video’video shooting’   Madairecta   uwapendekeza wasanii hao wawe katika hali ya mvuto kwa wasanii wa kiume au wa kike wawe hivyo hivyo na mvuto ama mahaba lakini kwa hali hii

wasanii ‘vimbau mbau’ ama wale wenye afya ndogo huwa wanaichukia sana kipengele hichi kwani baadhi yao ukifuta ama wengine wanashahuriwa waanze ‘gym’ ya lazima ili mrdi tu wawe fiti.

c0fff75296e811e29fb622000aaa1012_7

unnamed-300x300

07bc6afe962b11e297bf22000a1f9263_7Msanii Diamond Platinumz

Modewji blog kwa hapa tunakuwekea baadhi ya picha za mastaa wachache kati ya wengi ambao kutokana na mvuto wa miili yao ikiwemo kupangika hali inayopelekea mara nyingi picha zao kutumika kwenye  promo, kwenye mitandao ya kijamii na mabango makubwa ikiwemo ya kuvutia watu katika saluni mbalimbali na kwingineko.

Mastaa hao ni pamoja na wasanii, wa filamu, muziki, models,  na wengineo.

Angalia pichani:

Hamisa

hamisa-mobeto-bb

hamisa1Hamisa Mabeto ‘msanii na modolz.

PhotoGrid_1391872291059

MASOGANGEAgnes Gerald Masogange ‘Video Queen’ 

nay-wa

Nay-na-DaynaMsanii Ney wa Mitego

Rich+Mavoko+-+Pacha+wanguMsanii Rich Mavoko

Hata hivyo, Modewji imebaini kuwa, wasanii hao wengi wanakosa fursa za kujiingizia pesa kwa kutumia muonekano wa miili yao hiyo hasa kwa kuingia mikataba na makampuni kwa lengo la kutangaza bidhaa.

Baadhi ya bidhaa hizo ni pamoja na mavazi ya ndani ikiwemo ‘boxer’, bukta, chupi’, sidilia’, pedo, skin taiti na mengineo mengi.

Msomaji wa Mtandao huu wa Modewji blog, endelea kuperuzi nasi muda wote tutaendelea kukuletea habari siku zote, asante.

Kama una habari, picha za matukio unaweza kututumia kupitia email na namba zilizopo hapo juu kulia ama kupitia 0719076376.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 244

Trending Articles