Quantcast
Channel: Fashion – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 244

Waliong’ara red carpet kwenye sherehe ya siku ya wanawake Zanzibar

$
0
0

Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali kwenye red carpet wakati wa sherehe ya siku ya wanawake duniani iliyowakutanisha wanawake kutoka kila kona ya visiwani Zanzibar ambayo iliandaliwa na Kikundi cha Wanawake cha Zanzibalicious na kufanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya hoteli ya Bwawani.

DSC_0148

DSC_0099

DSC_0095

Mbunifu wa mavazi kutoka bara Mama wa mitindo Asia Idarous (kushoto) akipozi na mbunifu wa mavazi kutoka visiwani Zanzibar Matilda Ishungisa wa Malty design.

DSC_0092

IMG_20150323_074027

Mmoja wa wadhamini wa sherehe ya siku ya wanawake Zanzibar, Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Al Bashaer travel and tours, Shamma Hadi aking’ara kwenye red carpet.

FB_IMG_1427172863590

DSC_0106

Makamu mwenyekiti wa kikundi cha Wanawake wa Zanzibalicious, Zaning’ha Otembo.

DSC_0109

DSC_0111

DSC_0055

Mwenyekiti wa kikundi cha Wanawake wa Zanzibalicious Bi. Evelyne Wilson.

DSC_0057

DSC_0034

DSC_0035

DSC_0041

DSC_0043

DSC_0045

DSC_0052

Naibu Waziri wa Viwanda Biashara na Masoko serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe Thuwaiba Kisasi.

DSC_0066

Wanaume nao hawakubaki nyuma kutoa sapoti kwa wanawake.

DSC_0113

Mama wa mitindo Asia Idarous aking’ara kwenye red carpet.

DSC_0119

DSC_0125

DSC_0128

Kutoka kushoto ni Make up artist Sada, Mama wa mitindo Asia Idarous na MC wa sherehe ya siku ya wanawake duniani visiwani Zanzibar, Mishi Bomba ambaye pia ni mtangazaji wa Magic FM.

DSC_0131

DSC_0134

DSC_0139

DSC_0141

DSC_0143

DSC_0155

DSC_0162

Mke wa Naibu Waziri wa Afya serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bi. Zakhia Kombo (kulia) akiwa na Mama wa mitindo Asia Idarous.

DSC_0164

DSC_0163

DSC_0167

DSC_0168

DSC_0169

DSC_0231

DSC_0238

DSC_0173

Blogger Othman Maulid wa Zanzinews.com katika picha ya pamoja na Mama wa mitindo Asia Idarous.

DSC_0176

modewjiblog nayo iliwakilishwa na Zainul Mzige (katikati) akiwa na Mama wa mitindo Asia Idarous (kulia) pamoja na Make up Artist Sada.

DSC_0243

DSC_0245

DSC_0247


Viewing all articles
Browse latest Browse all 244

Trending Articles