Baada ya mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin kuiwakilisha vyema Tanzania katika jukwaa la mitindo nchini Uingereza,London kwa kufanya onyesho la Lady In Red 2016 na kupamba vilivyo sasa shughuli maalum ya kupongeza wale wote waliofanikisha jukwaa hilo kufanyika Jumamosi hii ya Februari 20 ndani ya Regency Park Hotel, jijini Dar es Salaam.
Katika Party hiyo kutakuwa na designers pamoja na wadau wengine wa mitindo, Designers wote walio shiriki Lady In Red 2016 iliyofanyika tarehe 31/1/2016 Tanzania watapewa Certificate za Shukrani. Party hiyo itaanza ku- shine kuanzia saa mbili kamili usiku hadi saa sita usiku, kumbuka haina kiingilio wapenzi wa mitindo wote wanakaribishwa unakosaje mtaarifu na mwenzio.
The post Lady In Red 2016 After party kufanyika ndani ya Regency Park Hotel Mikocheni, Dar Jumamosi hii appeared first on DEWJIBLOG.