Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara ashinda kuwa Cover Girl kwenye...
Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara (kushoto) akiibuka mshindi na kuwa Cover Girl kwenye Kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016 shindano ililofanyika New York siku ya Jumamosi Novemba 28, 2015....
View ArticleTravelling solo is easier than you can imagine
Many people across the world travel with companions who make them fully comfortable and relaxed through their trip because they feel secured. The travel companions can range from friends, school...
View ArticleFursa kwa Wanawake wa Kitanzania. Njoo ujiajiri mwenyewe, Jikomboe sasa
Wanawake wa Kitanzania Miliki Biashara yako sasa.Njoo upate elimu ya Biashara kisha Ujiajiri na kukuza Kipato chako mwenyewewe.Jiandikishe kuwa mshiriki wa Manjano Dream-makers na kuingia katika...
View ArticleLorraine Marriot Miss Universe Tanzania 2015 ndani ya Las Vegas na Vazi la Taifa
Lorraine Marriot (pichani) akiwa katika vazi la ubunifu la Taifa .Vazi hili limebuniwa na Adam Hassana Kijangwa kutoka Zanzibar na imeitwa ‘Angel of Ivory’ maana inaonyesha Malaika wa Tanzania...
View ArticlePia Alonzo kutoka Ufilipino ashinda taji la Miss Universe 2015
Miss Universe wa Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach katika picha ya pamoja washiriki wenzake wa Miss Universe 2015 baada ya kuvikwa taji hilo.(Picha kwa hisani ya @MissUniverse). Miss Universe wa...
View ArticleMama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin anogesha mkesha wa mwaka mpya DMV!!
Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa mitindo kuoka kwa gwiji la mitindo Tanzania mama Asya Idarous Khamsini aliponogesha mkesha wa mwaka mpya 2016 uliofanyika Lahnam, Maryaland nchini Marekani....
View ArticleLady in Red kufanyika Tanzania na UK
Pichani ni moja ya matukio ya shoo ya Lady in Red iliyofanyika siku za nyuma. Mama wa Mitindo, Asya Khamsin akimkabidhi ua mumewe Bw. Khamsin. (Picha ya Maktaba). Miongoni kati ya Burudani Duniani...
View ArticleWema Sepetu awafunda wabunifu chipukizi wa Lady In Red fashion show 2016
Mkurugenzi wa Fabak Fashions na mwandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asya Idarous Khamsin (katikati) akimtambulisha rasmi mwanadada, Wema Sepetu (kushoto) ambaye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi....
View ArticleJocktan Maluli ‘MAKEKE’: Msanii wa mitindo anayevuma nje ya mipaka ya Tanzania
Msanii wa mitindo Jocktan Cosmas Maluli maarufu kama Makeke (katikati) akiwa katika moja ya majukwaa ya fashion la Slum fashion Africa lililofanyika nchini Kenya. Na Andrew Chale, Modewjiblog Makeke...
View ArticleTeam ya maandalizi ya “Lady In Redy 2016” yakutana na wanahabari leo Danken...
Mama wa Mitindo Asya Idarous wa pili kutoka kushoto, akizungumza katika utambulisho huo. Team ya maandalizi ya Fashion Show maarufu kama “Lady In Red 2016″imekutana na waandishi wa habari leo katika...
View ArticleTake Interior Design to a New Level
Aenean id tellus justo elit, sit amet sodales purus vulputate non. Nullam lorem eros, posuere nec sodales at, aliquet. Ut luctus justo elit, sit amet sodales purus vulputate non. Nullam lorem eros,...
View ArticlePhotography Tips From Wai Su
Aenean id tellus justo elit, sit amet sodales purus vulputate non. Nullam lorem eros, posuere nec sodales at, aliquet. Ut luctus justo elit, sit amet sodales purus vulputate non. Nullam lorem eros,...
View ArticleWabunifu chipukizi walivyolipamba jukwaa la Lady In Red Fashion show 2016
Wabunifu zaidi ya thelasini (30) wameweza kulipamba vilivyo jukwaa la mitindo hapa nchini la Lady In Red fashion show 2016 lililofanyika jijini Dar es Salaam huku likishuhudiwa na wadau mbalimbali wa...
View ArticleHabari njema “Lady In Red” kufanyika nchini Uingereza 13 Februari
Lady In Red ni onesho la mitindo ambalo limekuwa likifanyika kwa muda mrefu hapa nchini Tanzania, Onesho hilo lilianzishwa na Mama mitindo maarufu nchini kama Asya Idarous, kwa lengo la kuendeleza na...
View ArticleZawadi Dotto aibuka mshindi wa mashindano ya ulimbwende ya “Miss Albinism 2016”
Miss Zawadi mwenye umri wa miaka 17 (mwanafunzi) ameibuka mshiki katika Mashindano hayo ambayo ni maalumu kwa ajili ya Watu wenye ulemavu wa ngozi kwa ajili kuonyesha umahiri wao katika tasnia ya...
View ArticleLady In Red 2016 After party kufanyika ndani ya Regency Park Hotel Mikocheni,...
Baada ya mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin kuiwakilisha vyema Tanzania katika jukwaa la mitindo nchini Uingereza,London kwa kufanya onyesho la Lady In Red 2016 na kupamba vilivyo sasa shughuli...
View ArticleShuhudia pichaz kutoka kwenye Lady In Red 2016 After Party ndani ya Regency...
Tayari designers wote pamoja na wadau wengine mbalimbali wa mitindo wanaendelea kujumuika ndani ya Regency Park Hotel ambapo kuna tukio moja tu la kukutana na kufurahia kwa pamoja baada ya show mbili...
View Article