Quantcast
Channel: Fashion – DEWJIBLOG
Viewing all 244 articles
Browse latest View live

Miss Universe Tanzania November 20 @King Solomon’s Hall!


Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara ashinda kuwa Cover Girl kwenye kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016

$
0
0

Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara (kushoto) akiibuka mshindi na kuwa Cover Girl kwenye Kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016 shindano ililofanyika New York siku ya Jumamosi Novemba 28, 2015.

Mamiss wengine walioshiriki shindano hilo wakipita mbele ya majaji.

Wadau wakipata picha na mamiss wakati mratibu wa mashindano ya miss Africa Lady Kate alipokua akitangaza shindi.

Ma Winny Casey (gauni jeusi) pamoja na Lady Kate (mwenye miwani) wakiwa na mamiss.

Travelling solo is easier than you can imagine

$
0
0

solo

Many people across the world travel with companions who make them fully comfortable and relaxed through their trip because they feel secured. The travel companions can range from friends, school mates, workmates to family members who stand as their backup during the tour. This prior experience makes people who have never travelled solo quite frightened when travelling to new destinations, of course there are pros and cons of travelling alone but this shouldn’t be a bottleneck to your solo trip, it is a chance to indulge yourself fully. Jovago Tanzania, hotel booking website gives some important tips to bear in mind for the finest journey of your destination.

Plan and research

Before you depart, do some advance arrangements, look at your pocket first, choose the best day for tour, also try to be updated with the special packages on holidays like Christmas, New Year and many other holidays, it is also necessary to find tour operators and the best deals when hotel booking.

Try to arrive during the day

It is important to plan arriving during the day, this will help you be familiar with the environment. Learn how to talk with strangers, smile and start a conversation don’t forget to be curious and always ask  open-ended questions and follow-up questions.

Be curious

Try to find some new places you have never visited before, this will keep you exploring and busy with the new adventure. Tanzania has a full of historical sites and game reserves, there are so many tribes to discover in each region where you can travel and learn different cultures.

Safety is a paramount priority.

It is quite obvious that the foremost concern of the solo traveler is safety. When travelling to new destinations,  one is rather vulnerable in the new environment. Discover how long it takes from the airport to your hotel, use the hotel transport or ask for a trusted taxi driver from the hotel to pick you up whenever you need transport.

Take with you the identification cards.

Identifications cards states who you are and where you come from, it will not be hard to find if you in times of crisis. This makes it easier for the good Samaritan or the concerned government to report directly to your national embassy in case of emergency.

Combat Loneliness

Carry along a camera as it is considered as real icebreaker. Cameras will make you new friends as you take pictures. Another important thing to carry is your Smartphone, it will give you an opportunity to interact and chat with friends on Facebook, Whatsapp, Twitter and Instagram amongst others. This will make your journey full of fun.

Interact with locals visiting cinemas, music concerts, parks etc. Mix up with locals and others in order to have a very wonderful time while traveling…

Watch the World around You

Take time to learn from the people around you on how they interact and how things work, this could be done by  observing how to use public transit, whether the bill is paid at the table or over the counter, how to hail a cab or taxi. But most importantly, on your solo trip “trust everyone but no one”. Since the benefit of travelling alone is meeting new people, make sure you join the company if there is any, but always keep your money and important articles on your own for safety.

You may also sometimes take short courses for a while; connect with others by learning language depending on hobbies or interests.

JovagoTanzania , wishes you happy moments in this coming holiday of Christmas and New Year

Fursa kwa Wanawake wa Kitanzania. Njoo ujiajiri mwenyewe, Jikomboe sasa

$
0
0
 

Wanawake wa Kitanzania Miliki Biashara yako sasa.Njoo upate elimu ya Biashara kisha Ujiajiri na kukuza Kipato chako mwenyewewe.Jiandikishe kuwa mshiriki wa Manjano Dream-makers na kuingia katika Tasnia ya Vipodozi nchini kwa kujiongezea kipato kupitia kipodozi pendwa cha LuvTouch Manjano.

Washiriki watakaochaguliwa watapata mafunzo yenye ueledi wa biashara na ujasiriamali pamoja na jinsi ya kupamba, yaani Professional Makeup-up artist BURE! Application deadline ni tarehe 24 December 2015!

LuvTouch Manjano ni kipodozi cha kwanza kuzinduliwa nchini Tanzania (Makeup line) na imependwa na wanawake wengi nchini. Jiongezee kipato kwa kuwa mmoja wa washiriki kwa kuweza kuuza bidhaa zako katika eneo unaloishi huku ukiwa mtaalam vile vile wa kuwapamba wateja wako katika ubora wa uhakika.

Tuma maombi yako kwa kujaza form iliyoandikwa ‘Participant Form’ kwenye tovuti ya Manjano Foundation www.manjanofoundation.org au leta maombi yako kwa mkono katika ofisi zetu za Manjano Foundation zilizopo Kijitonyama, jengo la Millennium Towers gorofa ya kwanza.

Mafunzo haya yatatolewa kwa wanawake 30 kwa mikoa mitano (jumla wanawake 150) tu katika maeneo na tarehe zifuatazo;

MANJANO DREAM-MAKERS TRAINING TIMETABLE

1.Dar es Salaam – Tarehe: January 4 – 8, 2016

2.Mwanza – Tarehe: January 18 – 22, 2016

3.Zanzibar – Tarehe: February 1 – 5, 2016

4.Kilimanjaro – Tarehe: February 15 – 19, 2016

5.Dodoma – Tarehe: March 7 – 11, 2016

Apply now to become a LuvTouch Manjano representative and enjoy financial independence! Sign up now by filling the form titled ‘Participant Form’ at our website

http://www.manjanofoundation.org 

 
 
 
 
 
 
 
@luvtouchmanjano  
 
@shearillusionsafrica 
 
Kwa Maelezo Zaidi Tembelea Manjano Foundation

Lorraine Marriot Miss Universe Tanzania 2015 ndani ya Las Vegas na Vazi la Taifa

$
0
0

debuts her National Costume on stage at Planet Hollywood Resort & Casino Wednesday, December 16, 2015. The 2015 Miss Universe contestants are touring, filming, rehearsing and preparing to compete for the DIC Crown in Las Vegas. Tune in to the FOX telecast at 7:00 PM ET live/PT tape-delayed on Sunday, Dec. 20, from Planet Hollywood Resort & Casino in Las Vegas to see who will become Miss Universe 2015. HO/The Miss Universe Organization

Lorraine Marriot (pichani) akiwa katika vazi la ubunifu la Taifa .Vazi hili limebuniwa na Adam Hassana Kijangwa kutoka Zanzibar na imeitwa ‘Angel of Ivory’ maana inaonyesha Malaika wa Tanzania anayelinda Tembo wanaouwawa kwa ujangili kwa ajili ya biashara haramu ya pembe za ndovu.

Huyu malaika wa Tanzania yupo kwa ajili ya kuwalinda Tembo na rasilimali zetu na kuwaadhibisha majangili. Nguo yake imeshonwa kwa ubunifu na umahiri mkubwa na hekaheka limebuniwa na Mwanakombo Salim. Pia kabeba fimbo la kimasai iliyonakshiwa na rangi za taifa.

Rangi nyekundu ni alama ya damu ya tembo iliyomwagika na kusafishwa na malaika huyu.

Pia Alonzo kutoka Ufilipino ashinda taji la Miss Universe 2015

$
0
0

CWulpSyUkAQPa2y

Miss Universe wa Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach katika picha ya pamoja washiriki wenzake wa Miss Universe 2015 baada ya kuvikwa taji hilo.(Picha kwa hisani ya ).

pia-alonso-miss-universe-philippines-winner-five-things-to-know-ftr-600x901

Miss Universe wa Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach.

CWt_6bSUkAE_O-F

Miss Universe wa Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach katika ubora wake.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Miss Universe wa Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach ameshinda taji la Miss Universe 2015 katika fainali ya mashindano hayo yamefanyika usiku wa jumapili, Planet Hollywood Las Vegas Resort & Casino nchini Marekani.

Pia amewashinda wenzake Miss Universe wa Colombia, Ariadna Gutierrez aliyekamata nafasi ya pili na Miss Universe wa Marekani, Olivia Jordon aliyeshikilia nafasi ya tatu ya mashindano hayo.

Pia aliwashinda wenzake baada ya majaji kuwauliza “Kwanini unataka kuwa Miss Universe 2015?” na Pia kujibu “Kuwa Miss Universe ni kuwa na mambo mawili, moja heshima na nyingine uwajibikaji, nitatumia sauti yangu kuwashawishi vijana na kuwapa uelewa kuhusu HIV kwa muda wangu na mambo mengine nikiisaidia nchi yangu Ufilipino, nataka kuinyosha dunia kuwa Miss Universe ninajiamini na ninauzuri kuanzia moyoni”

Baada ya kutangazwa kuwa mshindi Pia alivishwa taji na Miss Universe 2014, Paulina Vega wa Colombia.

Awali mwendeshaji wa sherehe hiyo Steve Harvey alikosea kumtangaza mshindi na kumtaja Miss Universe wa Colombia, Ariadna Gutierrez lakini aliomba msamaha kwa kufanya makosa hayo na kurekebisha.

Tanzania katika mashindano hayo iliwakilishwa na Lorraine Marriott ambaye hakufanikiwa kuwika kwenye fainali hiyo.

Japanese Women are the Masters of Makeovers!

New Year Party ya pamoja DMV: Mama wa Mitindo Asya Khamsin kufanya maonyesho ya mavazi!!


Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin anogesha mkesha wa mwaka mpya DMV!!

$
0
0
 
Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa mitindo kuoka kwa gwiji la mitindo Tanzania mama Asya Idarous Khamsini aliponogesha mkesha wa mwaka mpya 2016 uliofanyika Lahnam, Maryaland nchini Marekani.
Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki.
Ni vivazi vya mama wa mitindo Asya Idarous Khamisni.
Mtoto manshallah akiwa ndani ya vazi la mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini.
 
Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa vivazi.
Ilikua ni vivazi kwa kwenda mbele.
Kijana akijitanashati na kivazi cha Asya Idarous Khamsini.
Gwiji la mitindo na walimbwende wake.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

Lady in Red kufanyika Tanzania na UK

$
0
0

DSC_0840

Pichani  ni moja ya matukio ya shoo ya Lady in Red iliyofanyika siku za nyuma. Mama wa Mitindo, Asya Khamsin akimkabidhi ua mumewe Bw. Khamsin. (Picha ya Maktaba).

 
Miongoni kati ya Burudani Duniani ni pamoja na “Fashion Industry’ yaani mitupio inayowafanya watu kuwa katika good appearance Wanawake kwa Wanaume kuanzia miguuni mpaka kichwani. Wanamitindo kutoka hapa nchini Tanzania wamekuwa na utaratibu wa kuandaa Fashion Show ambazo zinatoa opportunity kwa Designers na Models.

Hivyo basi new update kutoka Mama wa mitindo maarufu kama Asya Idarous ambaye kila mwaka huandaa Fashion Show inayo wakutanisha Designers “Lady in Red” amesema kuwa “Mwezi huu nitahakikisha “Lady in Red” inafanyika Tanzania coz tarehe 17 January, 2016, nategemea kukutana na designers pale Regency Hotel Mikocheni saa 10:00 jioni kwa ajili ya maandalizi ya “Lady in Red” inayotegemea kufanyika 31/1/2016 katika ukumbi wa “Danken House’

Pia Asya Idorous aliongeza kuwa “2016 “Lady in Red” itaifanyika Tanzania na United_Kingdom (UK) Uingereza . So kwa wale wapenzi wa mitindo hapa ndio pake kaa mkao wa kula na kuona uhondo  yaani kitu ni “Lady in Red” Cheers 2016.

Wema Sepetu awafunda wabunifu chipukizi wa Lady In Red fashion show 2016

$
0
0

DSC_0805

Mkurugenzi wa Fabak Fashions na mwandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asya Idarous Khamsin (katikati) akimtambulisha rasmi mwanadada, Wema Sepetu (kushoto) ambaye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi. (Kulia) ni Martin Kadinda ambaye naye miongoni mwa watendaji wanaoratibu jukwaa hilo la Lady in Red. katika usiku wa Lady In Red fashion show 2016, litakalofanyika 31 Januari ndani ya ukumbi wa Danken House wa Mikocheni jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Nyota wa filamu za Bongo, ambaye pia aliwai kuwa Miss Tanzania kipindi cha nyuma, Wema Issac Sepetu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye onesho na jukwaa maalum la mitindo la kila mwaka la “Lady In Red 2016”  litakalofanyika 31 Januari katika ukumbi wa Danken House uliopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.

 Mkurugenzi wa Fabak Fashions na mwandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asya Idarous Khamsin amebainisha hilo alipokutana na badhi ya wabunifu wa mavazi na wanamitindo watakaopamba jukwaa hilo hiyo 31 Januari, ambapo amewataka kujipanga ilikuchangamkia fursa ya kupata kuinua tasnia ya mitindo nchini.

“Lady In Red fashion show 2016 ni ya kipekee na jukwaa hili ni fursa kwa kuinua wabunifu wa mavazi chipukizi kupata kuonekana zaidi na hata kukuza majina na ubunifu wao kujulikana ndani na nje” amefafanua Mama wa Mitindo, Asya Idarous.

Aidha, ameeleza kuwa, ilikutoa msisimko zaidi kwa jukwaa hilo. Mwanadada Wema Sepetu ndiye atakaye bariki siku hiyo ikiwemo utoaji wa vyeti kwa washiriki ilikuweka kumbukumbu.

Asya Idarous ameongeza kuwa, hadi sasa jukwaa hilo la Lady in red linafikia umri wa miaka 12 litaendelea kuwa juu zaidi na kuwa shule kwa tasnia ya mitindo ambapo kwa sasa pia linafanyika na nje ya Tanzania ikiwemo nchini Uingereza.

Hata hivyo  wadau mbalimbali  wameombwa kujitokeza kuliunga mkono ikiwemo kudhamini onesho hilo.


DSC_0810

Mkutano huo wa utambulisho wa jukwaa la Lady Inn Red fashion show 2016 kama inavyoonekana pichani.

DSC_0808

Mwanadada Wema Sepetu akitoa nasaha zake kwa Wabunifu wa mavazi na wanamitindo (hawapo pichani) wakati wa utamburisho wa jukwaa la Lady In Red fashion show 2016 linalotarajiwa kufanyika 31 Januari.

DSC_0793

Martin Kadinda akitoa nasaha zake kwa wabunifu na wanamitindo waliojitokeza katika mkutano huo (hawapo pichani) kuhusiana na jukwaa la Lady In Red fashion show 2016.

DSC_0865

DSC_0903

Wabunifu wa mavazi na wanamitindo wakifuatilia mkutano huo wa utambulisho wa jukwaa la Lady In Red fashion show 2016.

DSC_0760

Baadhi ya wabunifu wa mavazi na mitindo wakifuatilia mkutano huo.

DSC_0881

DSC_0898

DSC_0873

DSC_0888

DSC_0885

DSC_0904

DSC_0765

DSC_0760

DSC_0902

DSC_0816

..Wakipata ‘selfie’ na Wema Sepetu

DSC_0833

..Wakipata ‘selfie’ na Martin Kadinda

DSC_0921

DSC_0830

Picha ya pamoja…

Jocktan Maluli ‘MAKEKE’: Msanii wa mitindo anayevuma nje ya mipaka ya Tanzania

$
0
0

12345680_1816488911911612_3268924740048111556_n

Msanii wa mitindo Jocktan Cosmas Maluli maarufu kama Makeke (katikati) akiwa katika moja ya majukwaa ya fashion la  Slum fashion Africa lililofanyika nchini Kenya.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

 Makeke ni msanii wa mitindo ambaye anafanya  mitindo ya kiafrika/kiasili kutokana na maisha ya Muafrika halisi, Jina kamili ni Jocktan Cosmas Maluli amabaye pia ni mmiliki wa kampuni ya MAKEKE AFRIKA CO.LTD  iliyopo Boko  – Dar es salaam ambayo ilianzishwa mapema mwaka  Desemba 2012.

Mpaka  sasa jina la MAKEKE  limeweza kutumika kama jina na brand ya kibiashara inayomtambulisha Jocktan Maluli ambaye hadi sasa ofisi yake  hiyo ikiweza kufikisha umri wa zaidi ya miaka 5 huku ikiwa na idara tatu muhimu amabazo ni MAKEKE AFRIKA KOLEKSHENI, MAKEKE MEDIA & MAKEKEMODELING AGENCY.

 Makeke  anabainisha kuwa, alikuwa na kipaji cha uchoraji tangu akiwa mdogo, na alishawahi kuwa mchoraji bora wa shule ya msingi wakati huo akiwa Mbeya.  Kipaji hicho aliendelea nacho na hata kidato cha nne na kidato cha sita alipoibuka kuwa mchoraji bora wa katuni Nyanda za juu kusini na Tanzania kwa ujumla.

383428_509985679048913_109316577_n

Moja ya mitindo inayobuniwa na msanii wa mitindo nchini, Makeke.

Katika uchoraji bora huo  aliwahi kuzawadiwa  kiasi cha pesa na cheti na taasisi ya kuzuia rrushwa TAKUKURU, wakati huo akiwa kidato cha tano na cha sita ndipo alipoanza kufanya mitindo kama ‘Model’ na akafanikiwa kuwa Mr. Mbalizi high school wakati huo na Mr. Mbeya vijijini hapo ndipo alipopewa jina la ‘Model Makeke’  kutokana na miondoko yake jukwaani, baadae alianza kushauriwa na watu kuwa kutokana na uwezo mkubwa wa kuchora anaweza kuwa mbunifu mzuri wa mavazi basi toka hapo ndo akaanza rasmi ubunifu wa na watu walikuwa wakikubali kazi zake.

Baadae akafanikiwa kujiunga na chuo kikuu cha Dododma (UDOM) ambapo alikuwa akisomea Shahada ya (FINE ARTS & DESIGN) na hapo ndipo haswa alipotimiza ndoto zake za kuwa msanii bora wa mitindo, baadae akajiunga na AFRIKA SANA chini ya mbunifu  Alilnda Sawe kwa ajili ya mazoezi ya vitendo.

Makeke katika kufikia malengo yake  ameweza kutimiza ndoto yake huku akiwa  Mbunifu wa nguo, ubunifu wa mapambo ya ndani pamoja na kupamba kuta, graphics design, make up design.

11014980_778535628860582_2970655073466105500_n

Mitindo inayobuniwa na Msanii wa mitindo nchini, Makeke.

Anabainisha kuwa, na uwezo wote huo: “Ni  kwa sababu toka nikiwa mdogo nilikuwa katika mazingira hayo ya kujifunza vitu vingi, na pia chuo kikuu tulikuwa tukisoma aina mbali mbali za sanaa”. Anabainisha Makeke.

Anaongeza kuwa: “Kikubwa nafkiri watu bado hawajaelewa vile mimi nafanya mambo yangu, na pia hawajaelewa hichi kitu nnachokiita sanaa ya nguo, kiukweli sipendi kuitwa ‘Designer’  napenda mtu aniite ‘artist’, kwa hiyo ‘Am a fashion artist’ nafanya kitu kwa uwezo zaidi ya ule wa ‘Designer’,  sababu ‘designers’  wengi wamekuwa watu wa ku copy na ku pest (bandika bandua) yaani hawaumizi kichwa

 katika kufanya michoro yao, mimi sina mipaka katika kufanya nguo naweza tengeneza nguo katika mazingira yoyote kwa material yeyote.  Pia watu bado hawajanielewa kwasababu nafanya mitindo migumu ingekuwa ni muziki basi ni muziki wa Tamaduni (Culture music) nguo nyingi si rahisi kuvalika mtaani.” Anaeleza Makeke.

Akifafanua juu ya  tasnia ya mavazi pamoja na soko lake: Makeke anabainisha kuwa,  Tasnia  ya mitindo Tanzania iko katika matabaka  ambapo anabainisha kuwa, Wapo wanamitindo wanaojiona kama miungu watu  na wabinafsi hali ambayo wanarudisha nyumba tasnia nzima ya mitindo hapa nchini.

11692649_1623035417913743_1040310650842835408_n

“Mimi sipendi mambo ya majigambo na ubinafsi. kitu ambacho sikipendi  na ndio maana niko mbali na watu wa tabia hiyo na hii ndo sababu ya kwenda kufanyia mitindo nje ya Tanzania mara kwa mara.  Huko nje watu wako makini na wanakuelewa  nini unafanya kuliko hapa  nyumbani” anaeleza.

Makeke kutokana na kufanya kazi zake nyingi  nje ya Tanzania  vyombo vingi vya habari vya ndani vimekuwa vikishindwa kumpa nafasi huku vingi vikiangalia watu waliokwisha toka na kujulikana zaidi. Kwa hali hiyo licha ya kuwa ni mchanga katika tasnia ya mitindo anaamini sasa ni zamu yake na Tanzania sasa inamuhitaji.

 Makeke mbali na kufanya ubunifu wa mavazi, . nje ya ubunifu anafanya:  Mambo ya upakaji rangi kuta, uchoraji wa katuni,  Upigaji wa picha za matukio na kuziwekea ubunifu zaidi,  kubuni vitu ikiwemo logo, matangazo ya mabango na vitu mbalimbali kwani anaamini hivyo vyote vinazama kwenye sanaa , na hii ndo maana ya kuitwa msanii kutokana na kuwa navyo tokea utoto wake na pia kuvisomea ngazi ya chuo kikuu.

12246646_1815745555319281_8068763822089450566_n

Makeke anaamini kuwa yeye yupo tofauti zaidi na wengine: “Tofauti kubwa ni kitu kimoja nakiita CREATIVE& ARTISTIC MINDS, nna uwezo wa kubuni na pia nna chembe chembe za kisanii ndani yangu ndio maana hata kazi  zetu hazifanani. Hata siku moja kazi yangu huwezi kukuta inafanana na mtu mwingine hasa wabunifu hawa wa hapa nyumbani” anaeleza.

Pia anaongeza kuwa, tofauti nyingine baina yake na wabunfu wengine ni   kwamba wao wanafanya mitindo kama kazi ya ziada lakini kwa yeye ni kazi ya kwanza na anaifanya kama mbobezi huku akiifanya kazi hiyo ya ubunifu kwa nyakati za sasa na baadae akimaanisha kuwa anamalengo ya mbali.

Hata hivyo, katika ubunifu wake wa mavazi, Makeke anaweka wazi kuwa,  amekuwa akibuni  kutokana na maisha ya muafrika  huku hasira na ndoto zake kubwa  ni kuona mavazi ya ubunifu yanabuniwa na kutoka   na yenye kuendana na msimu wowote ule. Makeke kwa sasa ana bidhaa sokoni   ‘BUTTERFLY BRAND’.

10993080_775821845798627_5962451429695722486_n

Kiwango cha elimu yake na mwaka:  Kidato cha nne (O level 2003 – 2006), Kidato cha tano na sita (Advance. 2007 -2009) elimu hiyo ya vidato vyote akiwa ameipatia katika shule ya Mbalizi High School iliyopo Mbeya Vijijini Mkoani Mbeya. Makeke  emezaliwa 18 Feb 1990).

Miongoni mwa kazi alizofanya kwenye majukwaa makubwa ya ubunifu na mitindo:

Majukwaa ya ndani ni pamoja na Mbeya Redds Nait, In forest fashion show-Mikumi, RRM fashion week, Marahaba fashion show, Lady in Red, Bagamoyo international festival of arts and culture (2014 na 2015). Pia Makeke ni  “Official dresser miss IFM 2013,  2014, and 2015”

Robi- Slum Fashion Africa, Kisumu  Fashion Week,  Fashion & Style  Expo- Nairobi. The Designer  walk ( Kenya) fashion show – TDWFS – (Afrika Kusini).

Kwa majukwaa ya nje ya Tanzania (International)  ni pamoja na : Slum fashion Africa, Picha fashion Festival, The designers walk fashion show, The reality tv fashion show, East African motor show.

Majukwaa mengine anayotarajia kupanda  hapo baaadae: Bongo style competition, East Africa Fashion week, Ekhulen fashion show based on SADC countries members, Abuja International Fashion.

Watu walio kwenye tasnia ya Ubunifu wanaomvutia ni pamoja na : Henrick Biscouvs (Scandnavia),Ken Kasea (Morogoro), Kipilyango  wa  Africa shiners Tz,  Ailinda Sawe (Tanzania)  na  Asia Idorous.

10450159_778535665527245_162580848044186168_n

Miongoni mwa ubunifu na mitindoanayotamba nayo, Makeke.

10285599_469480239851535_3678542762004401787_o

10298059_469480313184861_7961502346037653987_o

Baadhi ya mitindo ya ubunifu ya Makeke.

10991077_1575488776025325_6111997563711787786_n

mitindo hiyo anayobuni Makeke.

10991178_402725176563522_6362169284138556739_n

Msanii wa mitindo, Makeke akiwa katika moja ya mitindo yake..

Team ya maandalizi ya “Lady In Redy 2016” yakutana na wanahabari leo Danken house

$
0
0

DSCN9622-768x1024

Mama wa Mitindo Asya Idarous wa pili kutoka kushoto, akizungumza katika utambulisho huo.

Team ya maandalizi ya Fashion Show maarufu kama “Lady In Red 2016″imekutana na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa “Danken House” kujadili na kutoa hamasa kwa Designers na wadau mbalimbalia ambao pia ni wapenzi wa mitindo.

Uongozi huo ambao unasimamiwa na Mama wa Mitindo ambaye anajulikana kama “Asya Idarous” umesema kuwa “Jukwaa la “Lady In Red 2016” litakuwa la ainayake kufuatia jitihada na juhudi zinazofanywa na walengwa wa tukio hilo, ambalo linategemea kupandisha Designers wengi zaidi hapa nchini siku ya Jumapili 31/1/2016 katika ukumbi wa Danken House.

Miongoni kati ya Designers watakao panda kwenye Stage siku hiyo ni Bemy Masai, Kelly Peter, Faustin Simon, Mtetesi Forcus, Barnabas, Mwanahamisis Kiroho, Nelson Thomas, Walter Demarian, Dorine Lymo, Evemary Sospeter, Fatma Rashid, Samweli Zebedayo, Kulwa Mkwandule, Jocktan Makeke, Saleem Siwila, Love Delamo, Abdul Mwene, Karol Mngumbi Jay Julius, Furaha, Joshua, Benja, Lili, Veronica, Rukia Walele nk.

Hivyo kama nawewe ni mpenzi wa mitindo usikubali kupitwa na tukio hilo, kiingilio ni buku 10000/= na viti vya mbele ni 30000/= Nyote mnakaribishwa ulisema oungozi wa maandalizi ya Tukio hilo.

(Picha na Maelezo by Victor Petro from Super News Tz)

DSCN9622 DSCN9623 DSCN9624 DSCN9625 DSCN9650 DSCN9652 DSCN9656 DSCN9657

Picha ya pamoja katika tukio hilo.

 

 

Take Interior Design to a New Level

$
0
0

Aenean id tellus justo elit, sit amet sodales purus vulputate non. Nullam lorem eros, posuere nec sodales at, aliquet. Ut luctus justo elit, sit amet sodales purus vulputate non. Nullam lorem eros, posuere nec sodales at, aliquet gravida dui.

Aenean id tellus in libero porta ultricies. Donec viverra interdum bibendum. Sed varius nunc tortor, tempus accumsan massa aliquam sed. Quisque a turpis ut dolor porta auctor a sed risus. Quisque turpis arcu, congue in tincidunt quis, feugiat a erat. Vivamus tincidunt semper ultricies. Integer sit amet facilisis quam. Sed vitae nibh odio. Sed nec neque id nunc ornare rhoncus. Donec congue accumsan justo, vitae mollis ipsum pharetra eu.

Donec lacus nunc, viverra nec, blandit vel, egestas et, augue. Vestibulum tincidunt malesuada tellus. Ut ultrices ultrices enim.

Praesent posuere libero eu justo tristique, vitae ultricies justo volutpat. Sed pellentesque neque eu neque adipiscing condimentum. In hac habitasse platea dictumst. Aliquam fermentum mollis orci aliquam dictum. Proin auctor quis enim ut tempor. Integer convallis convallis interdum. Quisque eget libero ac dolor pharetra vestibulum. Nulla posuere orci at justo vehicula porta.

Mauris ut nibh enim. In feugiat sagittis varius. Praesent pharetra ipsum enim, a fermentum arcu lobortis ut. Vestibulum cursus risus at massa faucibus consectetur.

In hac habitasse platea dictumst

Vivamus et eleifend massa. Suspendisse nec arcu et ligula posuere aliquam. Integer quis arcu vitae nisi sodales tincidunt.

  • Proin elementum ante quis mauris
  • Integer dictum magna vitae ullamcorper sodales
  • Integer non placerat diam, id ornare est. Curabitur sit amet lectus vitae urna dictum tincidunt vel vitae velit
  • Vestibulum ante ipsum primis in faucibus

Praesent pretium, massa ut consequat commodo, libero turpis dignissim lacus, facilisis porttitor risus mi vitae purus.

The post Take Interior Design to a New Level appeared first on DEWJIBLOG.

Photography Tips From Wai Su

$
0
0

Aenean id tellus justo elit, sit amet sodales purus vulputate non. Nullam lorem eros, posuere nec sodales at, aliquet. Ut luctus justo elit, sit amet sodales purus vulputate non. Nullam lorem eros, posuere nec sodales at, aliquet gravida dui.

Aenean id tellus in libero porta ultricies. Donec viverra interdum bibendum. Sed varius nunc tortor, tempus accumsan massa aliquam sed. Quisque a turpis ut dolor porta auctor a sed risus. Quisque turpis arcu, congue in tincidunt quis, feugiat a erat. Vivamus tincidunt semper ultricies. Integer sit amet facilisis quam. Sed vitae nibh odio. Sed nec neque id nunc ornare rhoncus. Donec congue accumsan justo, vitae mollis ipsum pharetra eu.

Donec lacus nunc, viverra nec, blandit vel, egestas et, augue. Vestibulum tincidunt malesuada tellus. Ut ultrices ultrices enim.

Praesent posuere libero eu justo tristique, vitae ultricies justo volutpat. Sed pellentesque neque eu neque adipiscing condimentum. In hac habitasse platea dictumst. Aliquam fermentum mollis orci aliquam dictum. Proin auctor quis enim ut tempor. Integer convallis convallis interdum. Quisque eget libero ac dolor pharetra vestibulum. Nulla posuere orci at justo vehicula porta.

Mauris ut nibh enim. In feugiat sagittis varius. Praesent pharetra ipsum enim, a fermentum arcu lobortis ut. Vestibulum cursus risus at massa faucibus consectetur.

In hac habitasse platea dictumst

Vivamus et eleifend massa. Suspendisse nec arcu et ligula posuere aliquam. Integer quis arcu vitae nisi sodales tincidunt.

  • Proin elementum ante quis mauris
  • Integer dictum magna vitae ullamcorper sodales
  • Integer non placerat diam, id ornare est. Curabitur sit amet lectus vitae urna dictum tincidunt vel vitae velit
  • Vestibulum ante ipsum primis in faucibus

Praesent pretium, massa ut consequat commodo, libero turpis dignissim lacus, facilisis porttitor risus mi vitae purus.

The post Photography Tips From Wai Su appeared first on DEWJIBLOG.


Wabunifu chipukizi walivyolipamba jukwaa la Lady In Red Fashion show 2016

$
0
0
Wabunifu zaidi ya thelasini (30) wameweza kulipamba vilivyo jukwaa la mitindo hapa nchini la Lady In Red fashion show 2016 lililofanyika jijini Dar es Salaam huku likishuhudiwa na wadau mbalimbali wa mitindo hapa nchini.
Jukwaa hilo linaloandaliwa kila mwaka na Mama wa Mitindo nchini,  Asya Idarous Khamsini  ameelezea kuwa lengo la jukwaa hilo ni kuwa kimbilio la wabunifu chipukizi na kama darasa la tasnia hiyo.
Onesho hilo kwa mwaka huu ni la 12 tokea kuanzishwa kwake huku likia limewatoa wabunifu chipukizi mbalimbali hapa nchini ambao wanamajina makubwa kwa sasa.
credit: pamojablog

Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa vivazi katika onesho la vivazi la Lady in Red  lililofanywa na mwanamitingo nguli Asya Idarous Khamsini kwenye ukumbi wa Danken House siku ya Jumapili January 31, 2016.
Mlimbwende akipita na kivazi mbele ya mashabiki wa mitindo.
Ni Lady in Red chini ya mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini
Mlimbwende ndani ya kivazi chekundu


Mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini  akipita kwenye jukwaa kuwashukuru wale waote waliofanikisha oneshohilo kufanyika huku akisindikizwa na Miss Universe
 
 
Mwakilishi wa blog ya Vijimambo ambaye ni mmiliki wa Blog ya Pamoja, Geofrey Adroph akipikea cheti kwa niaba ya Vijimambo blog baada ya kutambulika mchano wa blog hii katika masuala mazima ya mitindo.
Baadhi ya wageni waliofika katika onesho la mitindo lililofanyika siku ya jumapili
Hizi picha za chini ni wanamitindo chipukizi wakionesha umahili wao katika mavazi ya aina zote
12622195_887549398028061_2427182508996726674_oAsante Mama wa Mitinod, Asya Idarous Khamsin na #LadyInRed2016 kwa kutambua mchango wetu

The post Wabunifu chipukizi walivyolipamba jukwaa la Lady In Red Fashion show 2016 appeared first on DEWJIBLOG.

Habari njema “Lady In Red” kufanyika nchini Uingereza 13 Februari

$
0
0

Lady In Red ni onesho la mitindo ambalo limekuwa likifanyika kwa muda mrefu hapa nchini Tanzania, Onesho hilo lilianzishwa na Mama mitindo maarufu nchini kama Asya Idarous, kwa lengo la kuendeleza na kuibua vipaji vipya ndani ya Tasnia hiyo ya Mitindo. Kadri siku zinavyo zidi kusonga Onesho hilo limeendelea kuwa na ufanisi mzuri ukilinganisha na awali, ikiwa ni pamoja na ongezeko la hamasa kwa wanamitindo na kuwapa muamko wa kimaendeleo zaidi kupitia Onesho hilo, hasa kwa kuwapa kipaumbele upcoming Designers.

Lady In Red 2016  kwa sasa inaelekea kuwa ya kimataifa kufuatia hamasa kubwa ya Onesho hilo kwenda kufanyika nchini Uingereza. Hii ni habari njema kwa wote wapenzi wa mitindo yaani designers, models na wadau wengine.

Lady In Red 2016 Tanzania  imefanyika  31/1/2016 katika ukumbi wa Danken House Jijini Dar, ambapo ilifanikiwa kung’ara kwa style yake, chini ya usimamizi mzuri kabisa wa Asya Idarous, siku hiyo ndipo ilitangazwa Rasmi kuwa Lady In Red 2016 kwa mara nyingine itafanyika nchini Uingereza usiku wa kuamkia valentine day tarehe 13,/2/2016. Siku hiyo nyota wa wimbo wa “Pacha wangu” maarufu kama Rich Mavoko, akitokea hapa Tanzania atatumbiza kwenye onesho hilo.  Support yako inaweza ikapelekea Lady In Red iwe yakimataifa zaidi.

12669603_10205952919528347_4514275153055630844_n-(3)

The post Habari njema “Lady In Red” kufanyika nchini Uingereza 13 Februari appeared first on DEWJIBLOG.

Zawadi Dotto aibuka mshindi wa mashindano ya ulimbwende ya “Miss Albinism 2016”

$
0
0

Miss Zawadi mwenye umri wa miaka 17 (mwanafunzi) ameibuka mshiki katika Mashindano hayo ambayo ni maalumu kwa ajili ya Watu wenye ulemavu wa ngozi kwa ajili kuonyesha umahiri wao katika tasnia ya ulimbwende hii ikiwa pia ni ishara ya kwamba watu wenye ulemavu wa ngozi wanaweza kushiriki katika shughuli na mashindano mbalimbali.

Mashindano hayo yanaandaliwa na Taasisi ya kusaidia Watu wanaoishi katika Mazingira hatarishi iitwayo SAVE VULNERABLE FOUNDATION ya Jijini Dar es Salaam.

Mratibu wa Shirika hilo Alexander Exaud Mutowo ametanabaisha kwamba, baada ya mashindano hayo kukamilika kwa kanda zote nchini, Washindi wa Kanda hizo watashindanishwa Jijini Dar es salaam ili kumpata Mshindi wa Kitaifa wa MISS ALBINISM 2016.

Washiriki Saba wa Miss Albinism 2016 Kanda ya Ziwa na umri wao katika mabano ambapo kutoka Kushoto ni Hajra Sadru (22), Antonia Mathias William (17), Furaha Edward John (17), Pendo Faustine (15), Zabibu Abdallah (18), Zawadi Dotto (17) pamoja na Asteria Christopher.

Washiriki walioingia Nne bora ambapo kutoka kushoto Hajra Sadru, Furaha Edward, Zabibu Abdallah na Zawadi Dotto

Baada ya Mchuano mkali hatimae majaji wakatangaza washindi. Furaha Edward mshindi wa tatu (Kushoto), Hajru Sadru mshindi wa pili (katikati) na Zawadi Dotto akaibuka kuwa mshindi wa Kwanza (aliepiga magoti).

Mshindi wa Miss Albinism Kanda ya Ziwa akivikwa taji lake. Wa pili kulia ni Jalia Mtani ambae alikuwa Jaji Mkuu akitajana majina ya washindi. Pembeni ni Mshereheshaji Emmanuel Shalali kutoka Sahara Media Group.

Mshindi wa Miss Albinism Kanda ya Ziwa akivikwa taji lake. Wa pili kulia ni Jalia Mtani ambae alikuwa Jaji Mkuu akitajana Majina ya washindi. Pembeni ni Mshereheshaji Emmanuel Shalali kutoka Sahara Media Group.

Katikati ni Mshindi wa Kwanza, Kulia Mshindi wa Pili na Kushoto Mshindi wa Tatu.

Kampuni ya Visimbuzi (Ving’amuzi) ya StarTimes ilikuwa miongoni mwa makampuni yaliyosaidia kufanikisha mashindano hayo. Mwenye Kinasa sauti ni Erick Makonya ambae ni Afisa Masoko wa Kampuni hiyo Kanda ya Ziwa akitaja zawadi zilizotolewa kwa washindi na Kampuni hiyo ambapo Mshindi wa Kwanza amejinyakulia Simu ya StarTimes  aina ya Solar5, Mshindi wa Pili simu aina ya P40 StarTimes na Mshindi wa tatu amejishindia simu aina ya B27 zote zikiwa ni android kutoka StarTimes.

Baadhi ya Wageni waalikwa wakiongozwa na Marcella Mayala ambae ni Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana (wa tatu kushoto) ambae alimwakilisha wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo ambae alikuwa Mgeni Rasmi, wakiwa katika picha ya Pamoja na washindi.

Alexander Exaud Mutowo ambae ni Mratibu wa Shirika la VULNERABLE FOUNDATION  lililoandaa mashindano hayo akizungumza wakati wa mashindano hayo, ambapo amewasihi wadau mbalimbali kujitokeza kusaidia utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazowakabili watu wenye ulemavu wa ngozi ikiwemo kuunga mkono juhudi za shirika hilo kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa jiko katika katika kituo cha kuwahifadhi watu wenye ulemavu wa ngozi Buhangija kilichopo Mkoani Shinyanga.

Fredy Samwel Kaula ambae ni Mwenyekiti wa Shirika la VULNERABLE FOUNDATION akizungumza katika Mashindano hayo.

Alfredy Kapole ambae ni Mwenyekiti wa Tanzania Albinism Society TAS akizungumza wakati wa mashindano hayo.

Mwenye kinasa sauti ni Marcella Mayala ambae ni Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana (wa tatu kushoto) ambae alimwakilisha wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo ambae alikuwa Mgeni Rasmi, akifungua mashindano hayo.

Amesema ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza itaendeleza ushirikiano na Shirika la VUNERABLE FOUNDATION kwa ajili ya kupata wadau wa kusaidia kutatua changamoto zinazowakabili watu wenye ulemavu wa ngozi.

Dickson Kiringo a.k.a Mr.White ambae ni Msanii chipukizi wa Muziki wa Kizazi kipya akitoa burudani. Msanii Barnaba Boy aliahidi kumsaidia Mr.White ili arekodi nyimbo mbili katika studio yake ikiwa ni bure kabisa.

Msanii Barnaba Boy akitoa burudani katika shindano la Miss Albinism 2016 Kanda ya Ziwa Jijini Mwanza.

Majaji ambapo kutoka Kushoto ni Jaji Angelina Chuma, Jaji Mkuu Jalia Mtani na Jaji Lilian Lambo

Wa pili kulia ni Alfredy Kapole ambae ni Mwenyekiti wa Tanzania Albinism Society TAS pamoja na wadu wengine wakifuatilia mashindano hayo

Imeandaliwa na George Binagi-GB Pazzo wa BINAGI MEDIA GROUP

The post Zawadi Dotto aibuka mshindi wa mashindano ya ulimbwende ya “Miss Albinism 2016” appeared first on DEWJIBLOG.

Lady In Red 2016 After party kufanyika ndani ya Regency Park Hotel Mikocheni, Dar Jumamosi hii

$
0
0

Baada ya mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin kuiwakilisha vyema Tanzania katika jukwaa la mitindo  nchini Uingereza,London kwa kufanya onyesho la Lady In Red 2016  na kupamba vilivyo sasa shughuli maalum ya kupongeza wale wote waliofanikisha jukwaa hilo kufanyika Jumamosi hii ya Februari 20 ndani ya Regency Park Hotel, jijini Dar es Salaam.

Katika Party hiyo kutakuwa na designers pamoja na  wadau wengine wa mitindo, Designers wote walio shiriki Lady In Red 2016 iliyofanyika tarehe 31/1/2016 Tanzania watapewa Certificate za Shukrani.  Party hiyo itaanza ku- shine kuanzia saa mbili kamili usiku hadi saa sita usiku, kumbuka haina kiingilio wapenzi wa mitindo wote wanakaribishwa unakosaje mtaarifu na mwenzio.

Asya Idarous

The post Lady In Red 2016 After party kufanyika ndani ya Regency Park Hotel Mikocheni, Dar Jumamosi hii appeared first on DEWJIBLOG.

Shuhudia pichaz kutoka kwenye Lady In Red 2016 After Party ndani ya Regency Park hotel muda huu

$
0
0

Tayari designers wote  pamoja na wadau wengine mbalimbali wa mitindo wanaendelea kujumuika ndani ya  Regency Park Hotel ambapo kuna tukio moja tu la kukutana na kufurahia kwa pamoja baada ya show mbili za Lady In Red 2016 zilizofanyika  Tanzania Januari 31 na ile iliyofanyika London, Februari 13 mwaka huu.

Mwandaaji wa Lady In Red, Mama wa Mitindo, Asya Idarous Khamsin anabainisha kuwa, ndani ya Party  hii leo ni maalum kuwashukuru wale wote waliofanikisha pamoja na kuwatunukia vyeti (Certificate)  za Shukrani.

…Hakuna kiingilio kila mtu anakaribishwa pia kuna min fashion show!!!

red carMama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin akiwa pamoja na baadhi ya Modelz 

reda

reda

redss

RedcapertMama wa Mitindo Asya Idarous akiwa na moja ya vazi lake usiku huu..

ressAnkal Michuzi wa Michuziblog ambaye ni mgeni rasmi usiku huu akipata picha ya ukumbusho na Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin…

redcapetModelz katika ubora wake… (Picha zote na Andrew Chale,modewjiblog)

The post Shuhudia pichaz kutoka kwenye Lady In Red 2016 After Party ndani ya Regency Park hotel muda huu appeared first on DEWJIBLOG.

Viewing all 244 articles
Browse latest View live