Quantcast
Channel: Fashion – DEWJIBLOG
Viewing all 244 articles
Browse latest View live

Dj wa kike kutoka Nigeria, maarufu ‘DJ Cuppy’ atua nchini afanya shughuli za kijamii

$
0
0

cuppy16                                                                                       DJ Cuppy katika moja ya kazi zake..

Na Andrew Chale, modewjiblog
(Dar es Salaam).  Uenda ukapata maswali juu ya fani hii ya mukizi ambayo katika uwepo wake nafasi ya Udj  ni miongoni mwa vitu vikubwa vinavyobeba ukuaji wa muziki hasa kwa msanii husika pindi awapo jukwaani ama katika shughuli zake za Sanaa. 
Katika hilo tumeendelea kushuhidia uwepo wa madj wakubwa wengi wao wakiwa ni jinsia ya kiume huku jinsia nyingine ikibaki nyuma. Katika kuakikisha hilo linapatiwa jibu na ufumbuzi, Mtengenezaji wa muziki, mtunzi wa nyimbo na DJ raia wa Naigeria,  anayefanya kazi zake nchini Marekani Bi. Florence Ifeoluwa maarufu kama DJ Cuppy  yupi nchini Tanzania na akiwa katika ziara maalum ya kuhamasisha masuala hayo ni mambo ya kijamii.
Ujio wake huo ni wa  ziara yake ya Afrika yenye jina la ‘Cuppy takes Africa’. Wakati  Tanzania katika jiji la Dar es Salaam, huku akitarajiwa kutembelea kituo cha Kigamboni Community Center kinachotoa elimu kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu na baadae kufanya onyesho la muziki katika moja ya Hoteli jijini.
Ziara yake hii kabambe ya mwezi mzima ilianza Agosti 1 jijini Lagos, Nigeria ikifuatiwa na Senegal, Ghana na Kenya. Tanzania ni nchi ya tano katika ziara yake na hapo DJ Cuppy atatembelea nchi za Rwanda, Uganda na Afrika Kusini.
Nilikuwa na ndoto ya kutembelea Afrika, lengo kuu likiwa ni kujionea utamaduni wake, ndoto hii sasa imetimia,” alielezea katika mkutano na waandishi wa habari mjini Lagos Julai 8 huku akiongeza kwamba “nina furaha sana kuonja radha ya muziki tofauti, watu na kupata uzoefu kutokana na ziara hii!” Alisema.
Pamoja  na hayo, ziara hii inalenga kutoa msukumo katika jamii kwa kila nchi. DJ huyu mwenye kusherehesha ana shauku juu ya elimu ya viongozi wa baadaye wa Afrika. Kupitia msaada mkubwa wa asasi ya Dangote Foundation, atatembelea na kutoa msaada kwa shirika lisilo la kiserikali katika sekta ya elimu katika kila nchi atakayoitembelea.
Nchini Tanzania Cuppy atatembelea kituo cha jamii cha Kigamboni kijulikanacho kama (KCC). kituo hiki huwa kinashughurika na masuala ya kutokomeza umaskini, huku kikijikita katika kutoa elimu ya chekechea na msingi kwa watoto ambao wako mbali na upatikanaji wa elimu haswa kauokana na upungufu wa shule za umma.
KCC pia hutoa fursa nyingine za kujifunza kwa vijana wa Kigamboni, na pia hutoa elimu ya jamii, madarasa ya kuendeleza vipaji na mpango wa mafunzo ya ufundi stadi. Ziara hii inayojulikana kwa jina la “Cuppy takes Africa” wamechagua kituo hiki kwa sababu ya kujitolea kwao kukuza vipaji na kujenga upatikanaji wa elimu kwa jamii yake.
DJ Cuppy amefanya kazi katika safu ya tuzo yenye hadhi ya juu ikiwa ni pamoja na Financial Times Summit mwaka 2014 na kwenye tuzo za muziki za MTV Afrika, yeye ni msomi kutoka katika Chuo cha kifalme cha London na sasa anaendelea na masomo ya shahada ya uzamili katika fani ya Sanaa katika biashara ya muziki Chuo Kikuu cha New York. Cuppy pia ni balozi wa utalii kwa Nigeria.
Ziara hii ya “Cuppy takes Africa”’ inajumuisha maonyesho, mashirikishano ya wasanii, fursa za vyombo vya habari na ushirikiano wa hisani unaodhaminiwa na benki ya GT.

Sauti za Busara 2016 may be cancelled due to lack of funding!

$
0
0

Djmawi_Africa_(Algeria)_audience_at_Sauti_za_Busara_2015_[photo_Peter_Bennett]_IMG_0791_editThe audience at Sauti za Busara 2015. Photo: Peter Bennett

Every year, Sauti za Busara brings thousands of visitors from all corners of the world to Zanzibar at a time of the year that used to be considered low season. Even conservative estimates suggest that since 2004, Sauti za Busara has generated US$ 70million in revenue for the island. BBC World Service hails it as one of “Africa’s best and most respected music events”, while it is also included in CNN’s “7 African music festivals you really have to see” and tops AfroTourism’s list of “Africa’s 8 Best Music Festivals”.

Djmawi Africa (Algeria) perform at Sauti za Busara 2015. Photo: Robin Batista
Djmawi Africa (Algeria) perform at Sauti za Busara 2015. Photo: Robin Batista
Busara Promotions CEO Yusuf Mahmoud. Photo: Peter Bennett
Busara Promotions CEO Yusuf Mahmoud

Now for the bad news: the huge contribution the festival makes to the local economy and the regional music industry is in real danger of being derailed due to a shortage of funding. The organisers of the festival, Busara Promotions, have announced that the 2016 edition of the festival may have to be cancelled. An official announcement is expected soon, following an emergency meeting on Thursday 13 August.

After 12 successful editions of the festival, Busara Promotions CEO Yusuf Mahmoud says: “This decision will not be taken lightly. The festival is very popular and ticket sales are expected to be as healthy as ever. But these only cover 30% of festival costs. Despite tireless efforts, we’ve always had zero financial support from the governments in Zanzibar and Tanzania, and support from donors, embassies and commercial sponsors has reached an all-time low.”

Mahmoud believes the festival is a victim of its own success. He bemoans local authorities’ lack of vision, accusing them of bleeding the festival dry in the short-term, instead of investing in an event that promotes Zanzibar globally, employs and builds skills for Tanzanians and could continue bringing in cultural tourism revenues for many years to come. “Local representatives from the international donor community tell us it’s clear that Sauti za Busara is run professionally, delivers on its promises and is enormously popular,” he says. “Ironically, their assumption is therefore that the festival ‘does not need support’. Meanwhile, each year our local government authorities demand ever-higher contributions from the festival in withholding taxes, licenses, work permits, policing and security, venue rental fees – even for putting posters on the streets.”

A critical factor in Sauti za Busara’s success is that it is a shared experience between visitors and locals. The festival has always remained accessible for local Tanzanians, who pay a discounted rate of 3000 Tanzanian Shillings (US$1.50) for day tickets, far cheaper than the $20 that international visitors have to pay for the same. Rather than hiking ticket prices so that Sauti za Busara becomes an event exclusively for tourists, Mahmoud explains: “The local population bring important ingredients to our magic formula, which strengthens civil society through bringing different artists and audiences together in celebration whilst building respect for diversity. At the same time, through the global media we show positive images of Africa as a continent that is vibrant and rich in its many cultures and expressions.”

Emergency meeting scheduled for 13 August

Mahmoud continues: “In the meantime, on the morning of Thursday 13 August, Busara Promotions will host an ‘emergency’ meeting with local government and business leaders to help save Sauti za Busara at Zanzibar’s Grand Palace Hotel. If we can get 10 to 20 pledges in the region of $10 000 to $20 000 then the 2016 festival will go ahead, with generous marketing benefits for all festival sponsors, large and small. At the same meeting, we’ll have to announce that if funds cannot be committed before 20 August, then (a) the 2016 edition will sadly be cancelled, and (b) by any means necessary, the festival will be back in Zanzibar, wiser and stronger, in February 2017.

“We urgently need to build long-term partnerships with donors and sponsors who share our vision to become more financially sustainable,” adds Mahmoud. “If anyone reading this is interested to help keep Sauti za Busara alive, please contact me atbusara@busara.or.tz.”

Washiriki wa mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake kupitia vipodozi wahitimu mafunzo

$
0
0
 

Washiriki wa Manjano Dream-makers katika taasisi ya Manjano Foundation wamehitimu mitihani yao ya mwisho ya jinsi ya kupaka vipodozi (makeup). Kuanzia sasa, washiriki hao wanawake na wasichana 30 wanaianza safari yao ya mwaka mzima katika kujikita na ujasiriamali. Taasisi ya Manjano Foundation, ilianzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa programu ambayo itamuinua mwanamke wa Kitanzania kwa kumwezesha kujiongezea kipato na ambayo itakuwa ni chachu ya kubadili yale yote yaliyoyazunguka maisha yake.

Kundi hili la washiriki waliohitimu mafunzo mbali mbali linabeba bendera yake, Manjano Dream-Makers, ukiwa ni mradi unaokusudia kuzaa kizazi kipya cha wajasiriamali wanawake kwa kutumia kipodozi cha LuvTouch Manjano.

 

Mradi huu uliandikwa na kuandaliwa na kampuni ya SSC Consulting wakiwa ndio washauri wakuu wa mradi huu, hasa katika kuandaa Utaratibu na mipango yote ya mafunzo ya biashara na ujasiriamali. Mradi huu unadhaminiwa na kampuni ya Shear illusions kwa lengo la kuwajengea uwezo wanwake wa Kitanzania Kupitia Bidhaa bidhaa za Vipodozi vya LuvTouch Manjano kujisimamia na kujikita vizuri kwenye Biashara ya Vipodozi na kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara kwa lengo la Kumjengea uwezo Mwanamke wa Kitanzania.

 

AmQK5BzyxFg7mNB4L0wOpL4-YcS5UcmKJJn0kdBfViD4

Kila mshiriki amepewa mtaji wa bidhaa za LuvTouch Manjano, vitendea kazi kumuwezesha kuwapodoa wateja, mafunzo ya biashara na ujasiriamali na pia atapewa Business Coach na Mentor (Dada mshauri) ili kumuongoza katika safari hii ya mwaka mzima katika kujikita kwenye ujasiriamali. Tunawatakia kila la kheri kizazi kipya hiki cha wajasiriamali kina mama.

 

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mama Shekha Nasser Muasisi wa Mradi  aliouanzisha kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye  Ujasiriamali.Mafunzo  Chini ya Taasisi ya  Manjano Foundation.Lengo la Mradi huo ni kuwajengea Uwezo wanwake wa Kitanzania Kupitia Bidhaa bidhaa za Vipodozi vya Luv touch Manjano kujisimamia na Kujikita Vizuri kwenye Biashara ya Vipodozi na kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara kwa lengo la Kumjengea uwezo Mwanamke wa Kitanzania.

Kamati kuu ya CCM Taifa yateua wagombea Ubunge katika majimbo mawili ya Singida Mashariki na Kiteto

Sanaa Fashion Show kufanyika kesho ndani ya Ukumbi wa Mbezi Garden Hotel

$
0
0

 

image4

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Dar es Salaam)-Ile shoo kubwa yamaonyesho ya mavazi ubunifu ya Tanzania katika kuibua vipaji vya wanamitindo chipukizi na models lililoandaliwa na kampuni ya Crown River Fame likijulikana kama Sanaa Fashion Show, linatarajia kufanyika Ijumaa hii ya Agosti 28, ndani ya ukumbi wa Mbezi Garden Hotel, ambapo pia kutakuwa na shoo kabambe kutoka kwa msanii wa THT, Msami.

Akizungumza na mtandao huu Meneja Mradi wa Crown River Fame,  Mr. Rahul anasema  tayari taratibu zote zimeshakamilika na models pamoja na wabunifu wa mitindo wameshakamilisha kazi zao na kinachosubiriwa na shoo hiyo kabambe na ya aina yake kwa upande wa fashion show.

“Tunataraji kuwa na Models zaidi ya 20, watakaonyesha mavazi ya ubunifu katika shoo hii ya Sanaa Fashion, na pia tunatarajia kuwa na wabunifu zaidi ya 15 wakiwemo wakongwe na wanaochipukia kwa maana ‘Upcoming Desgners’.

Ili kuleta mageuzi katika tasnia hii ya urembo na ubunifu, jukwaa hili la Sanaa Fashion Show, lina lengo kuu la kuinua models wanaochipukia ‘Upcoming models’ na pia kuendeleza tamaduni zetu kwa maana hiyo tumeipa jina la Sanaa.”.

Aidha, anabainisha kuwa, baadhi ya wabunifu wa mavazi watakaoshiriki kwenye kuvisha Models, katika show hiyo ni pamoja na Mama wa Mitindo nchini, Asia Idarous, Mohammed Abdul, Joyce na wengine wengi.

Kwa upande wa kiingilio ni V.I.M ni Sh 20,000 huku V.I.P yenyewe ikiwa ni sh 40,000.

Kwa upande wa wadhamini ni pamoja na MODEWJIBLOG, 8020Fashions, Shear Illusions, Mbezi Beach Garden, BR Production, MC na wengine wengi.

image3

Abdul AmadHusna Tandika akimfanyia make up, Model, Abdul-Amad   katika   duka la Shear Illusions Millenium Tower, jijini Dar es Salaam.  Ikiwa tayari kwa maandalizi ya shoo hiyo ya kesho!

Jonetha Peter

Jonetha-Peter. akipakwa make up na mfanyakzi wa Shear Illusions, Agnes Rafael..

Barnabas Lukindo

Barnabas Lukindo akifanyiwa make up..

Calisah Abdulhameed

Calisah Abdulhameed akifanyiwa make up

Husna Tandika wa Shearshen na Natasha Mohammed

Husna Tandika akimpaka Natasha Mohammed model make up

Calorine Benard

Calorine-Benard. akifanyiwa make up

Calorine Benard.jpge3

Jazyline Gerad

DSC_0024

DSC_0025

Tamasha la manunuzi kufanyika Dar Jmosi

$
0
0

Na Mwandishi Wetu

TAMASHA la manunuzi maarufu kama Pop Up Bongo, ambalo limeandaliwa na kampuni ya Studiored PR linatarajiwa kufanyika Jumamosi (Agosti 29) katika baa ya Triniti iliyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam kuanzia saa 8 mchana hadi 2 usiku.

Tamasha hilo linalodhaminiwa na kampuni ya Smirnoff, ni la kwanza na la aina yake kufanyika jijini ambapo linafungua duka la muda mfupi la manunuzi ya rejareja ambapo wanunuaji watapata fursa kwa siku moja tu katika eneo maalum.

Maduka ya Pop Up duniani kote yanafanya mauzo ya rejareja kwa kuwapa wateja uzoefu wa manunuzi mbadala na wa ubunifu ambao ni tofauti kwa maduka ya rejareja yaliyozoeleka.

Aidha, bidhaa zitakazouzwa zitaleta shamrashamra nyingi, ufahamu na kuwapa wateja msisimko wenye furaha na wa kipekee kufanya manunuzi. Tamasha hilo  linafanyika kila baada ya miezi mitatu hadi minne katika maeneo mbalimbali huku bidhaa mpya zikiuzwa katika kila tukio.

Hii ni fursa kwa ajili ya wajasiriamali wa ndani kuweza kutangaza bidhaa zao na  kuweza kujulikana huku sekta ya fasheni na mtindo wa maisha ikizidi kukua.

Kampuni zenye bidhaa zitakazokuwa kwenye tukio hilo ni pamoja na; Secret Habits, Enjipai, PSJ Couture, Dress Kitenge, Africology, Kaya African Collection, OGS Studio, Nuya’s Essence, Henna Hub, FT Boutique na Branoz Collections, Happy Socks, Kipilipili pamoja na DJ Vasley, ambaye atampa kila mtu burdani huku wakifanya manunuzi kwa siku nzima.

Onesho la Pop Up Bongo lilizinduliwa Juni 28, 2014 katika eneo la Terrace Slipway, ambako tukio lililopewa jina la “Lipstick & Lace” likishirikisha wauzaji wawili wa rejareja- Secret Habits na Atsoko.

Ni tukio ambalo lilipata mahudhurio mazuri, ambapo wateja 70 hadi 80 waliitumia alasiri ile kwa kufanya manunuzi na kuburudishwa na muziki pamoja na tafrija na vinywaji. Tukio la Pop Up Bongo kwa sasa lina wahudhuriaji zaidi ya 400 na kampuni za bidhaa 15.

Majira haya ya joto, tunakuletea tukio la 5 la Manunuzi la Pop Up Tanzania na bidhaa zako uzipendazo. Kipya katika kipindi hiki ni ni “Huduma Maridhawa”, ambapo wageni wanaweza kupata vinywaji ambavyo vitabuniwa na kutolewa bure baada ya kununua chupa ya Smirnoff.

Pia kipya ni nembo ya biashara ya Pop Up Polaroid ambayo itawapa wageni fursa kupata machapisho ya Polaroid ambayo wanaweza kutumiana katika akaunti zao za mitandao ya kijamii na kuweka kama kumbukumbu ya tukio hilo.

“Hii ni jukwaa la kuuza bidhaa yako kuvuma kipeke nchini Tanzania. Tunataka kuwasaidia wajasiriamali wa ndani katika sekta kukua, kupata wateja wapya na pia pesa “anasema Natasha Stambuli, muasisi mwenza wa Pop Up Bongo.

Duka la siku moja la Pop Up  linaunda jukwaa kwa ajili ya fasheni mbalimbali na mitindo ya maisha ya kampuni za bidhaa mbalimbali kuweza kuonesha bidhaa zao na kushirikiana na wateja huku wakifurahia alasiri ya kusisimua wakifanya manunuzi, kucheza muziki na kupata vinywaji.

Natasha Stambuli, muasisimwenza wa Kampuni ya Pop Up Bongo na mmiliki wa moja ya kampuni za kijasirianali zinazoshiriki, Tabia Siri, ana shauku ya kupenda kazi za kijamii. Yeye ni mmoja wa wanachama wa Chama cha Umoja wa Mataifa cha

Tanzania, akifanyakazi pamoja nao kukusanya fedha za kununua vitanda kwa ajili ya wodi za wazazi nchini Tanzania. Kwa sababu hiI, Sh 1,000 ya kila mauzo itachangia kwa ajili hiyo.

Tukio la Pop Up Bongo linaandaliwa na Studiored PR na limeasisiwa na waanzilishiwenza wengine, Tanya Mulamula na Natasha Stambuli.

Televisheni ya Star Times yazindua kipindi cha Mashariki Max

$
0
0

01

Makamu wa Rais wa Star Times Group kutoka Beijing China Michael Dearharm akitoa hotuba ya uzinduzi wa kipindi cha Mashariki Max kitakachokuwa kinarushwa na Televisheni ya Star Times katika nchi za Afrika Mashariki wakati wa hafla ya uzinduzi huo  jijini Dar es salaam.

02

Mkurugenzi Mtendaji wa Star Times Group nchini Langtang Liao akimkaribisha Makamu wa Rais wa Star Times Group kutoka Beijing China Michael Dearharm wakati wa hafla ya uzinduzi wa kipindi cha Mashariki Max kitakachokuwa kinarushwa na Televisheni ya Star Times.

03

Mtayarishaji wa Kipindi cha Mashariki Max kitakachokuwa kinarushwa na Televisheni ya Star Times katika nchi za Afrika Mashariki Roby Bresson akiwatambulisha watangazaji wa kipindi cha Mashariki Max kitakachokuwa kinarushwa na Televisheni ya Star Times Jokate Mwegelo na Sarah Hassan (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kipindi hicho jijini Dar es salaam.

04

Watangazaji wa kipindi cha Mashariki Max kitakachorushwa na Televisheni ya Star Times wakati wa uzinduzi wa kipindi hicho jijini Dar es salaam. Kulia ni Jokate Mwegelo na Sarah Hassan (kushoto).

05

Mtangazaji wa kipindi cha Mashariki Max kitakachorushwa kupitia Televisheni ya Star Times Jokate Mwegelo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Star Times Group kutoka Beijing China Michael Dearharm (kushoto) wakati wa hafla ya uzinduzi huo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Star Times Group nchini Langtang Liao.

06

07

Mkurugenzi wa Idara ya Habari kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Assah Mwambene (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Star Times Group nchini Langtang Liao (wa tatu kulia) wakifuatilia uzinduzi wa kipindi cha Mashariki Max kitakachorushwa kupitia Televisheni ya Star Times wakati wa uzinduzi wa kipindi hicho jijini Dar es salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Clement Mshana.

08

Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa kipindi cha Mashariki Max kitakachorushwa kupitia Televisheni ya Star Times.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).

09

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Sekta ya michezo nchini inazidi kuimarika na kuongeza fursa kwa wanamichezo na wapenda michezo nchini kwa kuzileta pamoja nchi za Afrika ya Mashariki kwa kurusha ligi za michezo mbalimbali kutoka nchi hizo kupitia Televisheni ya Star Times.

Kauli hiyo imetolewa na Makamu wa Rais wa Star Times Group kutoka Beijing China Michael Dearharm alipokuwa akitoa hotuba ya uzinduzi wa kipindi cha Mashariki Max kitakachorushwa kupitia televisheni hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi kipindi hicho  hivi karibuni jijini Dar es salaam.

Bwa. Michael alisema kuwa Star Times Group wameamua kuanzisha kipindi hicho ambacho kinalengo la kuwaelimisha na kuburudisha wananchi wa nchi za Afrika ya Mashariki kwa kuwaunganisha kupitia michezo.

“Tumeamua na kudhamiria kuleta pamoja nchi za Afrika ya Mashariki kwa kuwaunganisha kupitia kipindi cha Mashariki Max na vipindi vingine vitakavyorushwa na TV yetu kwa mfumo wa digitali na kwa gharama nafuu kwa watumiaji wa huduma yetu” alisema  Bwa. Michael.

Pamoja na kipindi cha Mashariki Max, vipindi vingine vitavyorushwa na TV hiyo ni ligi za mpira wa miguu kutoka nchi za Afrika Mashariki za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi ambapo mpaka sasa kuna vituo vya kurushia matangazo vitatu katika nchi za Tanzania, Uganda na Kenya.

Zaidi ya ligi za nchi za Afrika Mashariki, kituo hicho cha TV kimejipanga kurusha matangazo ya ligi ya mpira wa miguu na michezo mingine kutoka nchi za Ujerumani, Italia na Ufaransa.

Kwa upande wake Mtayarishaji na Muandaaji wa vipindi mbalimbali vinavyorushwa na kituo hicho Roby Bresson alisema kuwa kituo chao kimejipanga kuendelea kuwaunganisha wananchi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kurusha vipindi vyao kwa kutumia lugha ya Kiswahili ambayo ndiyo kiunganishi kikuu katika mawasiliano miongoni mwa nchi hizo.

Aidha, Roby alisema kuwa nchi za Afrika zina mambo mengi mazuri ambayo dunia inapaswa kuyajua na kuyathamini badala ya dhana iliyojengeka kuwa bara la Afrika imegubikwa kwa mambo yenye mtazamo hasi tu.

Mwanamitindo Jocktan Makeke kuwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya TDWFS nchini Afrka Kusini

$
0
0

Msanii wa mitindo ya kiafrika kutoka Tanzania JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA ambaye amekuwa tishio katika mitindo ya asili ya mwafrika ameendelea kuiwakilisha vyema Tanzania katika majukwaa mbalimbali ndani na nje ya nchi , kama unakumbuka mwezi wa saba alituwakilisha vyema Jijini Nairobi na kuonekana mwanamitindo bora sasa.

Msanii huyu ambaye ndio mwanzilishi ya kampuni ya MAKEKE AFRIKA CO.  LTD atapanda tena jukwaani mwezi huu nchini Afrika Kusini kufanya maajabu kwa mara nyingine katika shindano hili kubwa la mitindo nchini Afrika kusini, JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA amesema kuwa sasa anakuja na collection nyingine mpya inayokwenda kwa jina la TABID – THE AFRICAN BEAUTY IN THE DARKNESS  ambayo itaonekana katika jukwaa hilo la TDWFS – the designers walk fashion show hivi karibuni.

     ABOUT  THE DESIGNERS WALK FASHION SHOW

This is an event, hosted by Auriginal PTY.(LTD), that brings together aspiring models and designers to compete and showcase their talents and innovation.

The Designers Walk fashion show is an event founded to serve as a platform for rising models and designers. By means of a competition, we have the judges and the people to evaluate the best. However, the decision of who the best doesn’t end ones opportunities.

aside from models and designers, we have rising entertainers coming to the table, to expand their horizon and to keep you on your toes during the event. With interested people, their opportunities can also expand.


When Plastic Surgery Fails.!

Marciano Fashion Dash kufanyika ndani ya ukumbi wa Regency Park Hotel, Sept 29

$
0
0

regencySaleem Siwila ni mmoja kati ya wadada wenye vipaji vya ku-design mitindo mbalimbali ya mavazi hapa home Tz, ambaye ameona ni vyema kukuandalia Show ili uweze ku-enjoy na wanamitindo kwa pamoja. Hivyo ukiwa kama shabiki wa ukweli unaependa Fashion, basi hii ni habari njema kutoka kwa mwanadada huyo maarufu kwa jina la Saleem Siwila coz anakuletea Fashion Show inayoitwa ‘Marciano Fashion Dash’ itakayo fanyika ndani Regency Park Hotel, chini ya usimamizi wa ‘Hasleem Fashion Design’ 26, September 2015.

Siku hiyo kutakuwa na wanamitindo wengi watakao show love na kuusindikiza usiku huo, kama Asya Idarous, Walter Di Marian, Kulwa Mkwandule, Benja Perfect, Benny Masai kutoka Urban Masai Cllection nk. Unaweza kuingia ni kwa mtonyo wa buku 15,000 tu! na 30,000 tu! kwa (VIP) unakosaje hii! (jichange) tuka-enjoy pamoja.

Burudani ya muziki itakuwepo kutoka kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka hapa Tanzania maarufu kama Baby J, Gigy Money pamoja na Unit X. Mbali na hiyo kutakutana live na Zamaradi Mketema kutoka Clouds, Dida wa Times FM bila ya kusahau Team ya Chanel Ten na Lotus Kyamba & Deo kutoka EATV ( Nirvana) kutakuwa na Red Carpet kali kwa ajili ya watu na pamba zao. 

Swahili Fest Community Picnic Mama wa mitindo Asya Idarous kufanya vitu vyake leo

$
0
0
*

Mwanamitindo na mbunifu Mkongwe kutoka Tanzania, Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin   leo  Septemba 20, anataraji kuonyesha mavazi ya ubunifu katika Swahili Fest Community Picnic

Swahili Fest Community Picnic.English-page-0

 

 

Angela Kairuki atembelea eneo maalumu la Mradi wa Gereji kwa Vijana Tegeta

$
0
0

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki atembelea eneo maalumu la Mradi wa Gereji kwa Vijana Tegeta. Eneo hili linajulikana kwa jina la Magereji kwakuwa ni eneo maalumu lililotengwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa magari kutoka mitaa mbalimbali jijini Dar es salaam.

1

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki akizuru eneo la Magereji Tegeta.

2.1

Mhe. Angela Kairuki akiangalia mitambo ya kisasa inayotumika kutengeneza magari katika eneo la Magereji Tegeta.

2.2

3. 1

Mhe. Angela Kairuki akiongea na Mafundi na wafanyakazi wa eneo la Magereji Tegeta.

3

Mafundi na wafanyakazi wa eneo la Magereji Tegeta wakimsikiliza Mhe. Angela Kairuki.

Asya Idarous anogesha na kukonga nyoyo za mashabiki Swahili Fest Bladensburg Water Front, MARYLAND

$
0
0
Gwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini akipita mbele ya mashabiki wake kushukuru. Picha na Vijimambo Blog/Kwanza Production

Gwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini (kushoto) akiwasalimia mashabiki wa mitindo kwenye Swahili Fest iliyofanyika siku ya Jumapili Septemba 20, 2015 Bladensburg, Maryland na kuhudhuriwa na nchi tano za Afrika Mashariki. 

Walimbwende waliovaa nguo za za gwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini wakiwa katika picha ya pamoja.

Maonyesho ya Mavazi Kuhamasisha Amani Tanzania kufanyika Oktoba 17 Dar

$
0
0

20151006142603450_640_905_1_0

FASHION FOR PEACE: Fashion Show on Saturday 17th October at 8PM at King Solomon Hall (Behind Eaters Point, Namanga) Dar es Salaam, Tanzania.

GET YOUR TICKET: +255767123055 www.mustafahassanali.net

 

 

Mustafa Hassanali Showcase in Port Harcourt, Nigeria

$
0
0

unnamed (1)

MUSTAFA HASSANALI will Launch his #fashion4peace campaign Collection Aptly Named AMANI (Kiswahili word for Peace), in Port Harcourt, which will Be Hassanali’s 31st City Globally to Showcase and his Show at the African Fashion Design Week will be his Third Show in Nigeria on 11th October.

The AMANI Collection is Inspired by The warmth from the Rays of Sunshine which embodies the various facets of Tranquility.

Using this Collection, Mustafa Hassanali preaches the importance of PEACE in Tanzania especially during this upcoming General Election on 25th October 2015

“Hekima Umoja na Amani. Hizi ni ngao zetu….Mungu Ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania”  Excerpts From The Tanzania National Anthem.

unnamed (2)

MUSTAFA HASSANALI’S AMANI COLLECTION will be accessorized by Susan Vogel’s PHOEBE JEWELRY whose passion for artistic works is associated with the subject “Stadi za Kazi”, ”Here at Phoeby Jewelry, we do what we love and love what we do. We’re just following our desire,your desire”. “I’ve a weak spot with personalized items,its not like I’m selfish but for me, it define Who I am.”


Makamu wa Rais Dkt. Bilal amwakilisha Rais Jakaya Kikwete, azindua HALOTEL TANZANIA

$
0
0

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) akizungumza jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, wakati walipokuwa kwenye Hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Mawasiliano wa Vietnam,Nguyen Bac Son, wakati walipokutana kwa mazungumzo kwenye hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Mawasiliano wa Vietnam,Nguyen Bac Son, wakati walipokutana kwenye hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, Waziri wa Mawasiliano wa Vietnam,Nguyen Bac Son, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

4

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wa tatu kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (wa pili kushoto) Waziri wa Sayansi na Teknolojia) Makame Mbarawa (kushoto) Waziri wa Mawasiliano wa Vietnam, Nguyen Bac Son (wa tatu kulia) na wasaidizi wake (kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

5

 Waziri wa Sayansi na Tknolojia, Makame Mbarawa, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Makamu wa Rais,Dkt Bilal, kuzindua rasmi Halotel Tanzania katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

6

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

7

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akiwaongoza viongozi wenzake kupiga ngoma kama ishara ya uzinduzi rasmi wa Mtandao mpya wa mawasiliano wa Halotel Tanzania, wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

8

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akigonganisha glasi na baadhi ya viongozi wa Vietnam kama ishara ya furaha baada ya uzinduzi rasmi wa Mtandao mpya wa mawasiliano wa Halotel Tanzania, wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

9

 Picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo.

burudani 2

Burudani..

burudani 3

burudani

fashion show 3

Mitindo..

fashion show3

Mitindo..

Hatimaye majaji wachagua washiriki 20 katika shindano la Bongo Style Competition !

$
0
0

Kipande cha Video ya mahojiano hayo.

Kuelekea Shindano la Bongo Style  Competition , Ambalo linatarajiwa kufanyika Mwishoni mwa mwezi wa Kumi na moja mwaka huu, Majaji wamefanikiwa kuwapata washiriki ambao wataingia katika Kinyang’anyiro hicho

Akizungumzia Shindano hilo Mratibu wa FASDO Tanzania Joyce Msigwa alisema shindano hilo linalengo la kuibua vipaji vya vijana wenye kati ya umri wa miaka 18-25 katika nyanja za ubunifu mitindo na upigaji picha ili kuwahamasisha kutumia vipaji vyao kujiajili wenyewe. Aliongeza kuwa idadi ya Fomu zilizotumwa kwa njia ya mtandao zilikuwa 310 kati ya hizo zilizo pitiwa na Majaji pande zote ili kupata washiriki 20 zilikuwa fomu 285.

Aliwataja waliopita kushiriki katika upande wa picha ni pamoja na hao kwa upande wa  ni pamoja na Daniel Msirikale, Anneth Mgowano, Travis Gaudence, Victor Mpalile,Ebenezer Mmasi, Hassan Mohammed Ally, Rasheed Hamis, Erick Mwan’gonda, Nicetas Mtey na Nicetas Mtey

kwa upande wa Ubunifu wa mavazi na mitindo aliwataja washiriki hao ni pamoja na Anna Ben Paul,Eva Mary Sospeter,  Jocktan mwakeke
Lilian Ndanshau, Cecilia lyakulwa,Milly’s Fenary Collection,Mamaland,Shahbaaz Sayed Yusuf,Salome Sebastian, na  Andrew Kalema

Nae Jaji wa Eneo la Mitindo Ambaye pia ni Balozi wa FASDO Martin Kadinda alizungumzia shindano hilo kuwa ni zuri na lipo kwa ajili ya kuibua vipaji vipya vya wanamitindo na kuongeza pia wale wote walioshiriki katika Shindano hili hasa walioleta fomu zao walikuwa wanauwezo lakini kwa kuwa ni shindano wachache ndio walikuwa wanatakiwa kulingana na vigezo na Masharti walivyoweka.

Akiongezea Jaji upande wa Picha Sameer Kermalli kwa niaba ya majaji wengine  amesema kuwa wamepokea na kupitia picha za washiriki wengi walioleta picha wamepitia na kugundua baadhi yao wamepiga picha nzuri ambazo zipo kitaalam na wengine wamepiga picha ka kuzi ‘edit’ sana jambo ambalo limesababisha kupunguza alama zao na pia wengine wametumia picha ambazo sio zao, pia aliongeza kwa kusema baadhi yao ambao wamechukuliwa pia wamefanya vizuri kutokana na ubunifu wao. 

Philipo Florian ambao wapo katika mitandao ya kijamii na waliokuwa wakipokea fomu hizo alisema kuwa fomu fomu nyingi zilikuja kwa kurudiwa rudiwa kitu ambacho kilichanganya kidogo mchanganuo, pia watu wengi  walipaa shida wakati wa kuweka Picha lakini hata hivyo wengi walifanikiwa na kushiriki kikamilifu. Pia Anna Semiono aliongeza kuwa zoezi lilienda kikamilifu na idadi ya wanawake na wanaume ambao walileta fomu zilikuwa sahihi ingawa baadhi yao walikosea kwa namna moja au nyengine kutokana na kuto elewa vizuri ni namna gani wangeweza wasilisha kazi zao, hata hivyo alisema changamoto hiyo haitakuwepo katika shindano lijalo kwa kuwa kutakuwa kuna elimu mbadala kupitia VIDEO CLIP itakayo onesha namna ya kutuma kazi zao.

 Majaji kwa Upande wa wabunifu wa Mitindo-Mavazi na Upigaji wa Picha wakiwa wanaendelea na kazi za uhakiki wa Majina ya kuwapata washiriki 20 ambao wataingia katika Shindano hilo.

Mbunifu na Mwanamitindo wa Mavazi ambaye pia ni Balozi wa Fasdo Martin kadinda akiongea kwa niaba ya Majaji upande Majaji wa Mitindo akielezea jinsi mchakato ulivyo kwenda.

 Majaji upande Ubunifu wa Mavazi wakiwa wanaendelea na kazi 

 Jaji katika upande wa kupiga Picha Sameer Kermalli akizungumzia mchakato mzima walioufanya kuwapata washiriki ambao wataingia katika shindano kwa upande wa upigaji picha

Majaji upande wa kupiga picha wakiendelea na Mchakato wa kuwapata washiriki 10 ambao wataingia katika ushiriki wa kumpata mshindi wa upande wa kupiga picha.

Mratibu wa FASDO Tanzania Joyce Msigwa akizungumzia mchakato mzima wa shindano la Bongo style Competition 

Kulia ni Philipo Florian kutoka kitengo ya Mitandao ya Kijamii Fasdo akiendelea na Kazi.

Vote Sheria Ngowi for best East African fashion designer of the year @ASFA2015

Swahili Fashion Week Awards; NOMINATE your favorite NOW

Fit legs equals fit brains, study suggests!

$
0
0

leg

Legs.

Older women who have strong legs are likely to fare better when it comes to ageing of the brain, a decade-long study of more than 300 twins suggests.

The King’s College London team says leg power is a useful marker of whether someone is getting enough exercise to help keep their mind in good shape.

Exercise releases chemicals in the body that may boost elderly brains, say the scientists, in the journal Gerontology.

But they say more research is needed to prove their hunch.

It is difficult to untangle leg strength from other lifestyle factors that may have an impact on brain health and the study did not look specifically at dementia, experts say.

Leg power

Leg muscles

The researchers tracked the health of more than 150 pairs of twin sisters aged between 43 and 73 at the start of the study.

Leg power was measured (at the start of the study) using a modified piece of gym equipment that measured both speed and power of leg extension, while brain power was measured (at both the start and the end of the study) using computerised tasks that tested memory and mental processing skills.

Generally, the twin who had more leg power at the start of the study sustained their cognition better and had fewer brain changes associated with ageing measured after 10 years. And the finding remained when other known lifestyle and health risk factors for dementia were included.

Lead researcher Dr Claire Steves said: “When it came to cognitive ageing, leg strength was the strongest factor that had an impact in our study.

“Other factors such as heart health were also important, but the link with leg strength remained even after we accounted for these.

“We think leg strength is a marker of the kind of physical activity that is good for your brain.”

Alzheimer’s Society director of research Dr Doug Brown said the findings added to the growing evidence that physical activity could help look after the brain as well as the body.

“However, we still don’t fully understand how this relationship works and how we can maximise the benefit,” he said.

“And we have yet to see if the improvements in memory tests actually translate into a reduced risk of dementia.”

Alzheimer’s Research UK director of research Dr Simon Ridley said: “We know that keeping active generally can help reduce dementia risk, and it’s important to take into account strength training as well as aerobic exercise.”

Source: BBC

Viewing all 244 articles
Browse latest View live