Wabunifu chipukizi (Designers) wamshukuru Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin
Tasnia ya mitindo na ubunifu nchini Tanzania imeendelea kukua siku baada ya siku huku wabunifu wa fani hiyo wakiongezeka mara dufu. Mwishoni mwa wiki iliyopita ilifanyika tukio moja kubwa nalo ni la...
View ArticleDStv launches new channel ‘Fashion One’ today
Dstv set to launch new trends and style channel ‘Fashion One‘ to replace Fashion TV. The channel will debut on today,1 March on DStv channel 178 across 48 countries in Africa. Fashion One will be the...
View ArticleBraided Hair Styles!
My name is Shelley Gifford from Melbourne, Australia and I have a beautiful little daughter named Grace. Growing up I always loved braiding, I would take any chance I could get to braid family and...
View ArticleTanzania Red Carpet yafana Seattle, Washington State
Mama mitindo Asya Idarous Khamsini mwishoni mwa wiki amefanya bonge moja la shoo katika jukwaa la mitindo kwenye usiku wa Tanzania Red Carpet uliofanyika siku ya Jumamosi ya Machi 12, 2016 mjini...
View ArticleWaliong’ara kwenye red carpet uzinduzi wa msimu mpya wa mashindano ya Miss...
Zifuatazo ni picha za baadhi ya wageni waalikwa na wadau wa tasnia ya urembo waliohudhuria uzinduzi wa msimu mpya wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania 2016 uliofanyika katika hoteli ya Ramada...
View ArticleJocktan Makeke awakilisha Tanzania katika Maonyesho ya Mavazi ya Afrika...
Mbunifu wa mavazi kutoka nchini, Jocktan Maluli a.k.a Makeke amepata nafasi ya kuiwakilisha bendera ya Tanzania katika Maonyesho ya Mavazi ya Afrika Mashariki (East Africa Fashion Week) ambayo...
View ArticleAfrican Traditional Dresses
-Kitenge and Khanga Print still on fashion for Tanzanians Traditional African clothes bear symbols: Each piece of fabric tells a story. No two pieces are alike and each pattern and color combination...
View ArticleWanamitindo kutoka Tanzania kupanda jukwaa la “DICOTA” Nchini Marekani leo
Katika ulimwengu wa Fashion bado mapambano yanaendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa zaidi, wanamitindo maarufu nchini Tanzania ambao kwa sasa wanaishi nchini Marekani yaani hapo...
View ArticleKampuni ya SG Entertainment yafanya utambulisho wa Miss Chang’ombe 2016
Kampuni ya SG Entertainment inayoandaa mashindano ya Urembo katika Kitongoji cha Chang’ombe Wilayani Temeke Jijini Dar es Salaam, imefanya utambulisho rasmi leo Mei 30.2016 mbele ya wanahabari juu ya...
View ArticleMama wa mitindo Asya Idarous Khamisin kushiriki jukwaa la Stara fashion Week...
Baada ya mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin kuendelea kufanya vizuri huko Marekani kwa kufanya Fashion Show kadha wa kadhaa ikiwemo ile ya “Dicota 2016” Habari njema mwanamitindo huyu amerejea...
View ArticleJukwaa la mitindo la kila mwaka la Stara Fashion Week kufikia kilele leo Juni 5
WIKI ya maonyesho na Mavazi ya stara, Stara fashion Week 2016 ita kuchukua nafasi yake tena mwaka huu katika ukumbi wa City Garden Restaurant uliopo Kamata, ambapo tukio zima lilianza kuanzia June 1...
View ArticleEXCLUSIVE: Picha za jukwaa la Stara Fashion Week 2016 zipo hapa
Jana Juni 5.2016, kulifanyika kilele cha maonyesho na Mavazi ya stara, Stara fashion Week 2016 ndani ya ukumbi wa City Garden Restaurant uliopo Kamata. Mbali na mitindo ya Stara, pia bidhaa mbalimbali...
View ArticleMama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin ang’arisha jukwaa la Stara Fashion Week...
Baada ya mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin kuendelea kufanya vizuri huko Marekani kwa kufanya Fashion Show kadha wa kadhaa ikiwemo ile ya “Dicota 2016” mchana wa jana aliweza kung’ara tena ndani...
View ArticleLijue gauni la harusi maarufu zaidi katika mtandao wa PINTEREST
Watu wengi wamekua wakikimbilia katika mtandao wa Pinterest kama mkombozi wao katika mipango ya harusi, ikiwemo kujua nguo za kuvaa na kutazama harusi za watu wengine kama kupata mifano. Lakini licha...
View ArticleBlackfox Models Africa wafanikisha zoezi ya kusajili vijana wa Arusha
Jumapili ilikuwa siku ya furaha kwa wanamitindo wa Arusha, kwani timu ya Blackfox Models ilitua jijini humo kusajili vijana wenye fani hiyo. Zoezi hili lilifanyika katika hoteli ya Tulia Boutique...
View ArticleMama wa Mitindo Asya Idarous na Yasin Kapuya kuwakilisha Tanzania Nchini...
Mamaa wa Mitindo Nchini Tanzania anayefanya shughuli zake Nchini Marekani, Asya  Idarous Khamsin (Pichani juu) anategemea kuiwakilisha Tanzania kwa kuonesha mitindo yake mbalimbali katika jukwaa kubwa...
View ArticleKendall Jenner na Gigi Hadid wapanda juu katika orodha za Forbes za...
Linapokuja suala la wanamitindo kutunisha akaunti zao za benki kutokana na kushiriki vyema katika mitindo basi Gisele Bundchen amekua ndio kinara kwa takribani miaka 14 ambapo jarida la Forbes...
View ArticleLady Gaga atokeleza kwenye maonyesho ya mitindo na vazi la aina yake
Mwanamuziki anaeongoza kwa vimbwanga nchini Marekani, Lady Gaga, ametokelezea akiwa ndani ya kijivazi cheusi chenye kumuonesha maumbile yake katika maonesho ya mavazi yaliofanyika usiku wa kuamkia leo...
View ArticleMtazania ashinda taji la mrembo wa gereza
Mashindano maarufu ya Mrembo wa Gereza katika Gereza la Lang’ata yamelenga kuwasaidia wafungwa wakike kupata afueni ya kisaikolojia na kurudi katika hali zao za zamani kabla ya kifungo. Shindano hilo...
View ArticleWashiriki TTCL Miss Higher Learning watoa elimu ya usalama barabarani
Washiriki wa kinyang’anyiro cha kumsaka mrembo wa elimu ya juu kwa mwaka 20016 (TTCL Miss Higher Learning 2016) kwa kushrikiana na Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani wametoa elimu ya...
View Article